Wazee napata shida kuamini kama wafuasi wa Clous fm ni halali maana wako 5.6 milioni yaani kifupi ndo ukurasa wenye wafuasi wengi zaidi kwenye tasnia ya habari,
Kichekesho sasa ndo page yenye wachangiaji wachache zaidi sasa swali hao watu wote ni halali kweli?? Mbona page za Wasafi fm wafuasi ni 1.1 milioni tu lkn wachangiaji wanafika zaidi ya 200
ππππππ
No way wote kwa wakati mmoja wanaweza kucomment5.6 idadi ni kubwa sana kwamba hawaingi online??
Wazee napata shida kuamini kama wafuasi wa Clous fm ni halali maana wako 5.6 milioni yaani kifupi ndo ukurasa wenye wafuasi wengi zaidi kwenye tasnia ya habari,
Kichekesho sasa ndo page yenye wachangiaji wachache zaidi sasa swali hao watu wote ni halali kweli?? Mbona page za Wasafi fm wafuasi ni 1.1 milioni tu l wachangiaji wanafika zaidi ya 200
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
View attachment 1545027View attachment 1545029View attachment 1545030View attachment 1545031