Ukurasa wa Clouds Fm ina followers 5.6 Milioni kulikoni comment chini ya 100???

Ukurasa wa Clouds Fm ina followers 5.6 Milioni kulikoni comment chini ya 100???

Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
892
Reaction score
683
Wazee napata shida kuamini kama wafuasi wa Clous fm ni halali maana wako 5.6 milioni yaani kifupi ndo ukurasa wenye wafuasi wengi zaidi kwenye tasnia ya habari,

Kichekesho sasa ndo page yenye wachangiaji wachache zaidi sasa swali hao watu wote ni halali kweli?? Mbona page za Wasafi fm wafuasi ni 1.1 milioni tu l wachangiaji wanafika zaidi ya 200

😎😎😎😎😎😎

Screenshot_20200822-182451.jpg
Screenshot_20200822-182411.jpg
Screenshot_20200822-183741.jpg
Screenshot_20200822-183639.jpg
 
Watu wameshawastukia hao watu wa kitengo.

Wazee napata shida kuamini kama wafuasi wa Clous fm ni halali maana wako 5.6 milioni yaani kifupi ndo ukurasa wenye wafuasi wengi zaidi kwenye tasnia ya habari,

Kichekesho sasa ndo page yenye wachangiaji wachache zaidi sasa swali hao watu wote ni halali kweli?? Mbona page za Wasafi fm wafuasi ni 1.1 milioni tu lkn wachangiaji wanafika zaidi ya 200

😎😎😎😎😎😎
 
Mkuu inaweza ikawa na comment below 100 Ila watu 30k wameona/wamefikiwa na awaja react popote
 
Unaweza mlazimisha mtu kusikiliza unachotaka kwasababu redio ni yako...

ila linapokuja swala la komenti na like aisee huwezi fanya kitu,watu n...

wanaamua wenyewe wakoment wapi walike wapi,bando si lao bana...
 
Wazee napata shida kuamini kama wafuasi wa Clous fm ni halali maana wako 5.6 milioni yaani kifupi ndo ukurasa wenye wafuasi wengi zaidi kwenye tasnia ya habari,

Kichekesho sasa ndo page yenye wachangiaji wachache zaidi sasa swali hao watu wote ni halali kweli?? Mbona page za Wasafi fm wafuasi ni 1.1 milioni tu l wachangiaji wanafika zaidi ya 200

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

View attachment 1545027View attachment 1545029View attachment 1545030View attachment 1545031

We huwajui wabongo. Weka umbeya mtu uone
 
Hili swali lako ni zuri nitaliandikia mada.
maana ni somo refu kidogo.
unaweza kuwa na followrs m10 ila wakawa ni follwrs wa kuboost ukazidiwa na mwenye 100k wasio wa kuboost.
 
Kwanza sina shaka engagement kwenye pages za Wasafi ni kubwa sana kulinganisha na pages za media zingine, hata hivyo comparison yako ipo completely biased!!

Wakati Clouds umetumia contents za Ndondo Cup, kwa upande wa Wasafi umetumia contents za Siku ya Wananchi... Special Week kwa millions of Tanzanians! Ulitakiwa kote kutumia contents za Yanga au Ndondo Cup ili ku-balance!
 
Ukitaka kugombana na hadhira tenda kinyume na muktadha wao

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom