issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
Nimechungulia page ya marehem IvanDon, cha kushangaza kuna mtu anaitumia amepost picha ....wabongo wavamia page wamwaga mapovu!
Swali; je, ni kweli yawezekana ule uvumi kuwa hajafa ikawa ni kweli sasa imeanza kujidhihilisha?
!!) Kama ameamua kuitumia ndg au moja ya wana familia, kwanini asijitokeze kuondoa sintofahamu