Acha udenz na mambo ya kike kike rudisha avatar ya watumwacheni Ivan apumzike jamani.
Ebu ifikie hatua uone aibu rudisha avatar ya joseemwacheni Ivan apumzike jamani.
punguza unnaaAliyeleta hii thread jinsia gani......km mwanaume basi akapimwe mkojo ila kama ni wa Dar sina usemi
Sent using Jamii Forums mobile app
Arudishe avatar yako sijapenda piaWe jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??
Acha usanii mkuu, Kuna mamilioni ya picha (avatar) huko lakini unaona SAWA kutumia hii ya kwangu ambayo nimeweka na jina langu kabisa...
kiroho safi nakuomba ubadilishe hii avatar kwa maana mimo nitaonekana msanii na hata sifa mbaya huku jukwaani..
Hapa JF kila mtu ana avatar yake inayomtambulisha...nakuambia hivi kwa kuwa wewe ni mgeni na hata kama ni mwenyeji umefungua ID mpya hilo jambo unalofanya ni UZINGUAJI MKUU..
ACHA WIZI WA KUIBA AVATAR ZA WATU NA KUJIFANYA KUIGIZA KUONEKANA NI MIMI
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sent from my iDevice using Tapatalk
Hahahahahahhaaaa yani hiyo comment hata mimi imenichekesha sanahahaaaaaaaaaa! teknolojia imekua sana hadi peponi kuna insta
INAONESHA KAMA NI MTU MMOJA HUYU ANATAFUTA KIKI!!!Yan muibaji na muibiwaji wote ni mtu mmojaWe jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??