badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,450
- 2,761
Ni aibu timu kubwa kama Simba kuruhusu account zenye maadili mabovu ya picha za utupu na ngono katika comments. Simba ni timu inayoheshimiwa ndani na nje ya Nchi. Kuna watu wenye hadhi zao ni washabiki wa simba kama viongozi wa serikali, viongozi wa dini, wanafunzi wa chuo, shule nk. Inakuwaje mnaruhusu kurasa zenye maudhui ya ngono kuwekaatangazo yao kila mnapo weka taarifa au ku post kitu kwenye ukurasa wenu?
Hii inakera sana mnaleta nuksi kwenye timu ndiyo maana timu haifanyi vizuri ina mana mo dewji na wewe unaona raha kusoma komenti za maudhui ya ngono wakati wewe ni muislamu?
Huyo moderator wa simba hafai kabisa kwanza aondolewe kwanini anashindwa ku block hizo account zenye maadili ya ngono mnafundisha nini vijana wengi ambao wanaifatilia timu ya simba hapo kwenye mtandao wa twitter?
Kila mnapo weka kitu twitter lazima akaunti za ngono nazo zinitangaze kwenye comments. Huo ni USHAMBA na pia mnakosa adabu. Siwezi kuweka picha hapa lakini kwa kweli anae endesha hiyo account ya simba twitter hafai. Yani hata ukienda twitter sasa hivi soma commenti utaona upumbavu huo.