JOSPIDE MAJABA
Member
- Mar 15, 2013
- 24
- 9
Kila mtanzania anapaswa kulipa kodi kwa ajili ya nchi yake kwa mujibu wa katiba ya nchi yetu KWA LAKINI wengine hawalipi kodi? Wapo watu ni wafanyabiashara wazuri tu lakini huwa wanakwepa kulipa kodi na serikali inabaki kukata vimishahara vya watu tu