Ukuta kuwa hivi, husababishwa na nini?

Inawezekana sehemu uliyojenga ardhi ina maji mengi yanayopanda na ukuta. Kuna dawa wanayo watu wa Nabaki Africa ya kuzuia hiyo hali. Ni kama cement hivi ukienda wanaweza kukusaidia.
Shukran sn mkuu, wazo lako ntalifanyia kazi
 
 
Kama kuna bomba la maji limewekwa ndani ya ukuta basi litakuwa linavuja. Leta fundi atindue ukuta ili azibe hilo bomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…