Ukuta kuwa hivi, husababishwa na nini?

Ukuta kuwa hivi, husababishwa na nini?

Hapo tatizo litakuwa ni kuvuja kwa maji iliwahi kutokea kwenye nyumba yangu tena juu ghorofani. Nilitindua kuweka sawa bomba issue ikaisha

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hii sio mold kweli maana ni sumu mbaya na inaua
Ukivuta hewa yake kwa mda mrefu hasa kwa watoto huwa wanakufa

Rejea kesi ya Awaab Ishak huko Rochdale imeleta mjadala mkubwa sana Uingereza nzima na limekuwa kubwa mno kuhusu ukuta kuharibika hivi

Screenshot_20221130-193409_Google.jpg
 
Soma

 
Back
Top Bottom