dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
because of this, bomba za maji nilipitisha juu ya ukuta ( nje ya nyumba ) na kutokeza ndani kama outletKama kuna bomba la maji limewekwa ndani ya ukuta basi litakuwa linavuja. Leta fundi atindue ukuta ili azibe hilo bomba.
Huenda ikawa hivi mkuu, sehemu yenye shida kuna bomba la maji limepita. Goja niufanyie kazi ushauri wako.Kama kuna bomba la maji limewekwa ndani ya ukuta basi litakuwa linavuja. Leta fundi atindue ukuta ili azibe hilo bomba.