Ukuta urefu wa ghorofa tano kulinda faragha ya makazi

Ukuta urefu wa ghorofa tano kulinda faragha ya makazi

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
Mkazi mmoja wa jiji la Nairobi amejenga ukuta urefu wa ghorafa tano ili kulinda faragha ya makazi yake.

Hii ni baada ya ghorafa kujengwa jirani na nyumba yake. Huyu anahatarisha maisha yake -huu ukuta salama kweli?

d6bafc9f434c43d7.jpg
 
Duuh,si angejenga na yeye gorofa.
Wengine wanaamini kujenga ghorofa la kuishi ni kukaribisha mauzauza hasa baada ya mmoja kufa na watoto kwenda kuishi maisha Yao.Ni Mawazo yangu tu.
 
Yuko sahihi, hakuna haja ya kumpangia mtu maisha.

Halafu ni vibaya mno kukosa privacy. Uko nje ya nyumba yako unapumzika, halafu majitu yako juu ghorofani yanakuchungulia utafikiri Mungu yuko mbinguni anaangalia viumbe vyake.
 
Back
Top Bottom