simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Duuuh!Duuh,si angejenga na yeye gorofa.
Huyu baba/mama jeuri sijawahi kuona.Duuh,si angejenga na yeye gorofa.
Wengine wanaamini kujenga ghorofa la kuishi ni kukaribisha mauzauza hasa baada ya mmoja kufa na watoto kwenda kuishi maisha Yao.Ni Mawazo yangu tu.Duuh,si angejenga na yeye gorofa.
anasemajeMkazi mmoja wa jiji la Nairobi amejenga ukuta urefu wa ghorafa tano ili kulinda faragha ya makazi yake.
Hii ni baada ya ghorafa kujengwa jirani na nyumba yake. Huyu anahatarisha maisha yake -huu ukuta salama kweli?
View attachment 2759946
Aseme nini? Zone plan hairuhusu kujenga ghorafa tano eneo hilo.Mwenye ghorofa
anasemaje