Ukutane na Avatar hii ya FIDEL njiani

Ukutane na Avatar hii ya FIDEL njiani

Idda

Member
Joined
May 22, 2009
Posts
64
Reaction score
0
avatar10550_7.gif

Ukutane na picha hii njiani usiku.
Ehhhh,
 
hehehehe mzimu huo wana kunyata nyata yaani kama unavizia kitu vile yap yap weweee lazima kitu kigonge jmosi na kurudi ndani hahahaha
 
Hii imekaa kama Wakenya vile ......... nafwa mwenzenu, scud hizo............
 
Mi nitamsalimia kwa kumkumbatia kabisa ili ajue na mimi nimedata kwa sababu ya mshahara mdogo unaoishia dukani kwa Mangi.
 
Mwanzoni alikuwa mnene kama AVATAR yangu akadhulumu mali za walalahoi na walala-uhiii na sasa ndio hivyo tena....
 
Back
Top Bottom