UKUTA's tactical move, a blow to prophets of doom!

They were hungering for flesh and thirsting for blood.

Blood of Tanzanians in the name of opposition supporters but still Tanzanians.

Now that is not going to happen, they still plan to parade tomorrow

They say they will be scaring off wrong-doers from the streets.

What a strategy!
.....and what a "tragedy" to the powers that be..!!!!
 
Let them parrade to the streets and bomb everyone they think is thinking on UKUTA.
The police have lost sight of the fact that they are public servants. They ever ready to execute orders from their master who may not be paying taxes that are meant for their upkeep.
 
Andika kiswahili NA we we mbona ukuandika ukuta kiingereza
Ungeandika kiswahili ndugu
Dah! You have written so wonderfully but the problem is the medium of language you have chosen to deliver your message. Many members here claims to be graduates but folly enough they hate the use of English... Please write a translation down your last paragraph...
For the benefit of BASIASI and bigonzo, hereunder is the Kiswahili translation of the message...!

Kusitishwa kwa maandamano ya UKUTA kumewanyima polisi wa CCM, waliojizatiti kujeruhi na hata kuua, nafasi ya kumwaga damu za raia wenzao wasio na hatia.

Hatua hiyo ya UKUTA inatafsiriwa kuwapa ushindi kwani pamoja na kuepusha mauaji yaliyokusudiwa na polisi wa CCM, ujumbe uliokusudiwa umefika mahala pake.

Kwa sasa ari ya polisi wa CCM imeshuka kwani hamu yao, kama ya wanywa damu, haikufanikiwa na hivyo kuzidi kuchanganyikiwa kwani kiu yao bado imebaki pale pale.

Maonesho yao mitaani yaliyogubikwa na vitisho na ghadhabu, yamedhihirisha tu matumizi mabaya na ya hovyo ya fedha za walipa kodi masikini wa taifa hili..

Mbinu zilizotumiwa na UKUTA zinazidi kuwapa fursa ya kupanga mikakati mipya na yenye busara zaidi ya kupambana kwani sasa adui kajitokeza kwa umbo lake halisi.

Kurudisha nguvu ya Umma nyuma ni sawa na kuchukua muda kutafakari na kutathmini njia mbadala na bora zaidi kukabiliana na vigingi vya adui siku nyingine.

Heko kwa UKUTA! Udikteta nchini Tanzania? Hapana, hapana kamwe...

Warning...the translation may not convey fully the contents of the original message in English.
 
Kusema UKUTA una mafanikio ni kuonyesha unavyoendeshwa kwa hisia. Tangu kutangazwa kwa UKUTA rate ya viongozi wa CDM kukamatwa na kudhalilishwa imeongezeka mara dufu, mpaka sasa Naibu Katibu Mkuu wa CDM Zenji ananyea debe selo, haya ndio mafanikio kwako au ni propaganda za kujitia moyo.

Mpaka sasa nadhani viongozi wa CDM watakuwa wamejifunza kuto kutoa maamuzi kwa hisia, ukianzisha mgogoro usitegemee serikali itakuja kukubembeleza, kama walivyoamua kususia bunge na watarudi wenyewe na vivyo hivyo wanaomba maridhiano kwenye UKUTA.
 
mtanzania1989, kudai haki kuna gharama zake na kaa ukijua kwamba haki yoyote unayoweza kuwa nayo wako wajasiri waliipigania na ndio maana wewe limbukeni unaweza ukalala tu kama maiti. Uhuru ni haki na akitokea dikteta uchwara akaihatamia lazima watajitokeza wajasiri kuidai wakati wewe muoga unauchapa usingizi.
 
Hivi hadi kuna watu mnaodhani mwanasiasa akifungwa ndio kashindwa mapambano?
 
Mag3 wewe Mzee ni mnafiki, mnajidai mnatetea demokrasia wakati huko CDM hakuna demokrasia, anzisha kuitafuta hiyo demokrasia ndani ya nyumba yako CDM kabla ya kuja kupayuka huku nje.

Unaleta propaganda za mafanikio ya UKUTA, hivi kweli umeishiwa hivi, ni nini ambacho UKUTA imebadilisha, mnaona aibu kusema ukweli, saivi mnahangaika kutafuta suluhu kwa mgongo wa viongozi wa dini, wazee wazima mmejaa unafiki tupu.
 
Baba Kiki suala hapa ni kuanza kupigishwa propaganda za mafanikio ya UKUTA, kuna mafanikio gani wakati tangu watangaze UKUTA ndio wamedhalilishwa na kukamatwa sana, sasa inakuwaje mtu na akili timamu aseme UKUTA ina mafanikio zaidi ya kupotezea watu muda tu.
 
Suala liko mikononi mwa Watumishi wa Mungu. Tuwaombeeni. Haki huinua Taifa
 
Mag3 wewe Mzee ni mnafiki, mnajidai mnatetea demokrasia wakati huko CDM hakuna demokrasia, anzisha kuitafuta hiyo demokrasia ndani ya nyumba yako CDM kabla ya kuja kupayuka huku nje.

Unaleta propaganda za mafanikio ya UKUTA, hivi kweli umeishiwa hivi, ni nini ambacho UKUTA imebadilisha, mnaona aibu kusema ukweli, saivi mnahangaika kutafuta suluhu kwa mgongo wa viongozi wa dini, wazee wazima mmejaa unafiki tupu.
Nakiri nimewahi kuunga mkono jitihada za Chadema lakini naomba nikuulize, je una hakika mimi ni mwana Chadema? Je nikikuambia sijawahi hata kukanyaga ofisi ya Chadema wala kukutana na kiongozi yeyote wa Chadema utaniamini? Kwa ufahamisho tu ni kwamba sijawahi kuipenda CCM tangu kabla ya vyama vingi na siamini kwamba ndani ya CCM kuna mtu yeyote aliye msafi na pia sijawahi kujiunga na chama chochote cha siasa pamoja na CCM yenyewe.

Baada ya hilo hakuna popote kwenye hii posti ilipotajwa Chadema, kilichotajwa ni UKUTA, umoja ninaoamini mtu yeyote ambaye hapendi udikteta uote mzizi Tanzania angekiunga mkono, je wewe? Hilo moja lakini la pili ni kwamba ndani ya nchi dikteta anaweza kuwa moja tu naye ni yule aliyeapa kuitetea na kuilinda Katiba ya nchi na vyombo ya dola nchini vikawekwa mikononi mwake kumsaidia kutekeleza hilo akilindwa na Katiba hiyo hiyo iliyompa mamlaka.

Haiwezekani tukawa na madikteta wawili nchini...mafahali wawili hawakai zizi moja. Hata hivyo naomba turudi kwenye mada iliyopo mezani. Je unakubali kwamba polisi wetu hawajafurahia kitendo cha kukosa wananchi wa kuwaumiza? Kwamba walikuwa wamejitayarisha kujeruhi au hata kuua ikibidi na hivyo kitendo cha Chadema kuwanyima fursa hiyo wao na waliowatuma hawakuipenda hata kidogo?
 
Haiwezekani tukawa na madikteta wawili nchini...mafahali wawili hawakai zizi moja.
Mag3 ndio maana mwanzoni nikasema wewe ni mnafiki, unaogopa kusema CDM hakuna demokrasia kwa kisingizio cha CDM hawana dola, ili hao hao CDM ndio wanataka kutupotezea muda na UKUTA wao, wanapata wapi moral authority ya kuongelea demokrasia kama wanashindwa kuweka nyumba yao safi.

Unapata ujasiri gani kuja kupiga propaganda za mafanikio ya UKUTA wakati moyoni unajua ni uongo. UKUTA kupewa airtime hayo si mafanikio bali ni hasara kwa taifa, badala ya kujadili mambo ya maana tunajadili unafiki na uroho wa wanasiasa, kama kwako hayo ndio mafanikio la lahula vingenevyo tuache upotoshaji usio na faida yoyote kwa jamii ya Tz.
 
Watu wote waliokuwa wamekamia maandamano watakuwa wameshushwa morale, hapo wapo polisi na pia wafuasi wa CDM. CDM imeshawahi fanya maandamano ambayo joto la kisiasa lilikuwa kali sana mfano maandamano ya Arusha 2011/2012. Kuahirisha haya maandamano si kwa sababu wamependa ila wamezidiwa nguvu na ikitokea Serikali wacheleweshe au wagome mazungumzo hata hiyo tar 1 Oct hakutakuwa na chochote cha maana.
 
Mag3 ndio maana mwanzoni nikasema wewe ni mnafiki, unaogopa kusema CDM hakuna demokrasia kwa kisingizio cha CDM hawana dola, ili hao hao CDM ndio wanataka kutupotezea muda na UKUTA wao, wanapata wapi moral authority ya kuongelea demokrasia kama wanashindwa kuweka nyumba yao safi.

Unapata ujasiri gani kuja kupiga propaganda za mafanikio ya UKUTA wakati moyoni unajua ni uongo. UKUTA kupewa airtime hayo si mafanikio bali ni hasara kwa taifa, badala ya kujadili mambo ya maana tunajadili unafiki na uroho wa wanasiasa, kama kwako hayo ndio mafanikio la lahula vingenevyo tuache upotoshaji usio na faida yoyote kwa jamii ya Tz.
Ndio maana nasema kuna watu wamechukia kweli kweli kwa nini UKUTA hawakuingia mtaani wapambane na polisi CCM. Raha yao ni kuona wasiokubaliana nao wanapigwa, kuumizwa na kuuawa mradi tu madikteta uchwara wasikosolewe wala kuambiwa ukweli. Hivi mtanzania1989, unaona raha gani polisi wakiwaumiza raia wenzako kwa sababu tu wanadai Katiba iheshimiwe na kufuatwa?
 
Katiba inafuatwa au lah hilo ni suala linalohitaji mada nyingine, ila kitu ambacho najua CDM hawana moral authority ya kuongelea demokrasia hapa wala kuanzisha harakati zozote kuhusu demokrasia kama nyumba yao ni chafu. Ndani ya CDM hakuna uhuru ya wanachama wake dhidi ya mahakama, hakuna ukomo wa madaraka kwa uenyekiti, kusiginywa kwa katiba ya chama pale inapokuwa dhidi ya maslahi ya wakubwa.

Unapotamka unaanzisha maandamano yasiyo na kikomo maana yake unataka kuleta taharuki, maandamano yasiyo na kikomo ni vurugu, maandamano yasiyo na kikomo ni kutaka kuipindua serikali iliyowekwa ki demokrasia, unategemea serikali ikuchekee baada ya kutamka hivyo?
 
Naunga mkono hoja. Chadema sasa ni lazima kifanye transformation kutoka chama cha kiharakati kuwa chama Tawala tarajiwa, huu ni mwanzo mzuri.

Pasco
Labda wakatawale wagonjwa Muhimbili! Labda umesahau kwamba hakuna kupiga siasa hadi 2020 na mwenye ruhusa hiyo ni nanii peke yake!! And Mag3, with due respect man, stop this damage control propaganda! Can you compare police's morale to kill against people's died morale to show The UnConquered Emperor that what he's doing is not right and completely unacceptable?! What then? No more fight for the right to practice politics as they see fit according to Political Parties Act?!
 
Naunga mkono hoja. Chadema sasa ni lazima kifanye transformation kutoka chama cha kiharakati kuwa chama Tawala tarajiwa, huu ni mwanzo mzuri.

Pasco

Mimi nilipinga UKUTA tangu ulipotangazwa hadi leo bado napinga.
Magufuli na vyombo vyake vya dola na chama chake ndo UKUTA tulionao kwa sasa.
Sisi tufikirie kujenga DARAJA kuunganisha wananchi wote wapinge uwendawazimu wa JPM..

Hakika polisi wamejipanga... Kudhuru mwili na kuua ili kuonesha kuwa UKUTA wa upinzani una malengo ya kukwamisha utendaji wa serikali na maendeleo ya wananchi...

Well played Mbowe. Ni mjinga tu ndo atashindwa kuona ukubwa wa busara iliyotumika...!!
 
duuu chadema nomaaaa....
wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa pia imefuruga budget ya police
mafanikio hupimwa kwa kutekeleza malengo, Chadema kilikuwa na malengo gani/mangapi na ni yapi/magapi yametekelezwa. Huwa hatupimi mafanikio kwa hisia. Vinginevyo Chadema kushindwa kutekeleza Ukuta wake hakuwezi hata kidogo kuitwa mafanikio! Publicity walioyoipata ni hasi siyo chanya. haiwezi kuwasaidia kwenye uchaguzi.
 
UKUTA's orderly retreat has cheated the CCM police, hyped to maim or kill, out of their evil plan to spill innocent blood.

UKUTA's accomplishment has been as effective as a victory, sparing innocent lives but delivering their message...

The CCM police's morale is low; like vampires, they are confused and frustrated...their thirst for blood still unquenched.

Their street show, full of sound and fury, has served no useful purpose other than misuse of poor tax-payers money.

UKUTA's tactical retreat gives them a chance to wisely change parts of their strategy, now they know their enemy!

A retreating force is merely taking some time out to re-assess the stakes and so be ready for a better fight another day.

Hail to UKUTA! Dictatorship in Tanzania? No, never...

Wakijiandaa-kulipua-mabomu-mbele-ya-kituo-cha-polisi.-620x308.jpg

Tanzania Police? Ready to maim or kill who? UKUTA Demonstrators?
Kujiliwaza. Message delivered? Yaani DrTulia atafuuzwa kesho. Au liveTV itaanza kuonyesha midomo iliyofungwa plaster. Victory in defeat indeed.
 
Back
Top Bottom