Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 481
.....and what a "tragedy" to the powers that be..!!!!They were hungering for flesh and thirsting for blood.
Blood of Tanzanians in the name of opposition supporters but still Tanzanians.
Now that is not going to happen, they still plan to parade tomorrow
They say they will be scaring off wrong-doers from the streets.
What a strategy!
The police have lost sight of the fact that they are public servants. They ever ready to execute orders from their master who may not be paying taxes that are meant for their upkeep.Let them parrade to the streets and bomb everyone they think is thinking on UKUTA.
Andika kiswahili NA we we mbona ukuandika ukuta kiingereza
Ungeandika kiswahili ndugu
For the benefit of BASIASI and bigonzo, hereunder is the Kiswahili translation of the message...!Dah! You have written so wonderfully but the problem is the medium of language you have chosen to deliver your message. Many members here claims to be graduates but folly enough they hate the use of English... Please write a translation down your last paragraph...
mtanzania1989, kudai haki kuna gharama zake na kaa ukijua kwamba haki yoyote unayoweza kuwa nayo wako wajasiri waliipigania na ndio maana wewe limbukeni unaweza ukalala tu kama maiti. Uhuru ni haki na akitokea dikteta uchwara akaihatamia lazima watajitokeza wajasiri kuidai wakati wewe muoga unauchapa usingizi.Kusema UKUTA una mafanikio ni kuonyesha unavyoendeshwa kwa hisia. Tangu kutangazwa kwa UKUTA rate ya viongozi wa CDM kukamatwa na kudhalilishwa imeongezeka mara dufu, mpaka sasa Naibu Katibu Mkuu wa CDM Zenji ananyea debe selo, haya ndio mafanikio kwako au ni propaganda za kujitia moyo.
Mpaka sasa nadhani viongozi wa CDM watakuwa wamejifunza kuto kutoa maamuzi kwa hisia, ukianzisha mgogoro usitegemee serikali itakuja kukubembeleza, kama walivyoamua kususia bunge na watarudi wenyewe na vivyo hivyo wanaomba maridhiano kwenye UKUTA.
Kusema UKUTA una mafanikio ni kuonyesha unavyoendeshwa kwa hisia. Tangu kutangazwa kwa UKUTA rate ya viongozi wa CDM kukamatwa na kudhalilishwa imeongezeka mara dufu, mpaka sasa Naibu Katibu Mkuu wa CDM Zenji ananyea debe selo, haya ndio mafanikio kwako au ni propaganda za kujitia moyo.
Mpaka sasa nadhani viongozi wa CDM watakuwa wamejifunza kuto kutoa maamuzi kwa hisia, ukianzisha mgogoro usitegemee serikali itakuja kukubembeleza, kama walivyoamua kususia bunge na watarudi wenyewe na vivyo hivyo wanaomba maridhiano kwenye UKUTA.
Mag3 wewe Mzee ni mnafiki, mnajidai mnatetea demokrasia wakati huko CDM hakuna demokrasia, anzisha kuitafuta hiyo demokrasia ndani ya nyumba yako CDM kabla ya kuja kupayuka huku nje.mtanzania1989, kudai haki kuna gharama zake na kaa ukijua kwamba haki yoyote unayoweza kuwa nayo wako wajasiri waliipigania na ndio maana wewe limbukeni unaweza ukalala tu kama maiti. Uhuru ni haki na akitokea dikteta uchwara akaihatamia lazima watajitokeza wajasiri kuidai wakati wewe muoga unauchapa usingizi.
Baba Kiki suala hapa ni kuanza kupigishwa propaganda za mafanikio ya UKUTA, kuna mafanikio gani wakati tangu watangaze UKUTA ndio wamedhalilishwa na kukamatwa sana, sasa inakuwaje mtu na akili timamu aseme UKUTA ina mafanikio zaidi ya kupotezea watu muda tu.Hivi hadi kuna watu mnaodhani mwanasiasa akifungwa ndio kashindwa mapambano?
Nakiri nimewahi kuunga mkono jitihada za Chadema lakini naomba nikuulize, je una hakika mimi ni mwana Chadema? Je nikikuambia sijawahi hata kukanyaga ofisi ya Chadema wala kukutana na kiongozi yeyote wa Chadema utaniamini? Kwa ufahamisho tu ni kwamba sijawahi kuipenda CCM tangu kabla ya vyama vingi na siamini kwamba ndani ya CCM kuna mtu yeyote aliye msafi na pia sijawahi kujiunga na chama chochote cha siasa pamoja na CCM yenyewe.Mag3 wewe Mzee ni mnafiki, mnajidai mnatetea demokrasia wakati huko CDM hakuna demokrasia, anzisha kuitafuta hiyo demokrasia ndani ya nyumba yako CDM kabla ya kuja kupayuka huku nje.
Unaleta propaganda za mafanikio ya UKUTA, hivi kweli umeishiwa hivi, ni nini ambacho UKUTA imebadilisha, mnaona aibu kusema ukweli, saivi mnahangaika kutafuta suluhu kwa mgongo wa viongozi wa dini, wazee wazima mmejaa unafiki tupu.
Mag3 ndio maana mwanzoni nikasema wewe ni mnafiki, unaogopa kusema CDM hakuna demokrasia kwa kisingizio cha CDM hawana dola, ili hao hao CDM ndio wanataka kutupotezea muda na UKUTA wao, wanapata wapi moral authority ya kuongelea demokrasia kama wanashindwa kuweka nyumba yao safi.Nakiri nimewahi kuunga mkono jitihada za Chadema lakini naomba nikuulize, je una hakika mimi ni mwana Chadema? Je nikikuambia sijawahi hata kukanyaga ofisi ya Chadema wala kukutana na kiongozi yeyote wa Chadema utaniamini? Kwa ufahamisho tu ni kwamba sijawahi kuipenda CCM tangu kabla ya vyama vingi na siamini kwamba ndani ya CCM kuna mtu yeyote aliye msafi na pia sijawahi kujiunga na chama chochote cha siasa pamoja na CCM yenyewe.
Baada ya hilo hakuna popote kwenye hii posti ilipotajwa Chadema, kilichotajwa ni UKUTA, umoja ninaoamini mtu yeyote ambaye hapendi udikteta uote mzizi Tanzania angekiunga mkono, je wewe? Hilo moja lakini la pili ni kwamba ndani ya nchi dikteta anaweza kuwa moja tu naye ni yule aliyeapa kuitetea na kuilinda Katiba ya nchi na vyombo ya dola nchini vikawekwa mikononi mwake kumsaidia kutekeleza hilo akilindwa na Katiba hiyo hiyo iliyompa mamlaka.
Haiwezekani tukawa na madikteta wawili nchini...mafahali wawili hawakai zizi moja.
Watu wote waliokuwa wamekamia maandamano watakuwa wameshushwa morale, hapo wapo polisi na pia wafuasi wa CDM. CDM imeshawahi fanya maandamano ambayo joto la kisiasa lilikuwa kali sana mfano maandamano ya Arusha 2011/2012. Kuahirisha haya maandamano si kwa sababu wamependa ila wamezidiwa nguvu na ikitokea Serikali wacheleweshe au wagome mazungumzo hata hiyo tar 1 Oct hakutakuwa na chochote cha maana.Nakiri nimewahi kuunga mkono jitihada za Chadema lakini naomba nikuulize, je una hakika mimi ni mwana Chadema? Je nikikuambia sijawahi hata kukanyaga ofisi ya Chadema wala kukutana na kiongozi yeyote wa Chadema utaniamini? Kwa ufahamisho tu ni kwamba sijawahi kuipenda CCM tangu kabla ya vyama vingi na siamini kwamba ndani ya CCM kuna mtu yeyote aliye msafi na pia sijawahi kujiunga na chama chochote cha siasa pamoja na CCM yenyewe.
Baada ya hilo hakuna popote kwenye hii posti ilipotajwa Chadema, kilichotajwa ni UKUTA, umoja ninaoamini mtu yeyote ambaye hapendi udikteta uote mzizi Tanzania angekiunga mkono, je wewe? Hilo moja lakini la pili ni kwamba ndani ya nchi dikteta anaweza kuwa moja tu naye ni yule aliyeapa kuitetea na kuilinda Katiba ya nchi na vyombo ya dola nchini vikawekwa mikononi mwake kumsaidia kutekeleza hilo akilindwa na Katiba hiyo hiyo iliyompa mamlaka.
Haiwezekani tukawa na madikteta wawili nchini...mafahali wawili hawakai zizi moja. Hata hivyo naomba turudi kwenye mada iliyopo mezani. Je unakubali kwamba polisi wetu hawajafurahia kitendo cha kukosa wananchi wa kuwaumiza? Kwamba walikuwa wamejitayarisha kujeruhi au hata kuua ikibidi na hivyo kitendo cha Chadema kuwanyima fursa hiyo wao na waliowatuma hawakuipenda hata kidogo?
Ndio maana nasema kuna watu wamechukia kweli kweli kwa nini UKUTA hawakuingia mtaani wapambane na polisi CCM. Raha yao ni kuona wasiokubaliana nao wanapigwa, kuumizwa na kuuawa mradi tu madikteta uchwara wasikosolewe wala kuambiwa ukweli. Hivi mtanzania1989, unaona raha gani polisi wakiwaumiza raia wenzako kwa sababu tu wanadai Katiba iheshimiwe na kufuatwa?Mag3 ndio maana mwanzoni nikasema wewe ni mnafiki, unaogopa kusema CDM hakuna demokrasia kwa kisingizio cha CDM hawana dola, ili hao hao CDM ndio wanataka kutupotezea muda na UKUTA wao, wanapata wapi moral authority ya kuongelea demokrasia kama wanashindwa kuweka nyumba yao safi.
Unapata ujasiri gani kuja kupiga propaganda za mafanikio ya UKUTA wakati moyoni unajua ni uongo. UKUTA kupewa airtime hayo si mafanikio bali ni hasara kwa taifa, badala ya kujadili mambo ya maana tunajadili unafiki na uroho wa wanasiasa, kama kwako hayo ndio mafanikio la lahula vingenevyo tuache upotoshaji usio na faida yoyote kwa jamii ya Tz.
Katiba inafuatwa au lah hilo ni suala linalohitaji mada nyingine, ila kitu ambacho najua CDM hawana moral authority ya kuongelea demokrasia hapa wala kuanzisha harakati zozote kuhusu demokrasia kama nyumba yao ni chafu. Ndani ya CDM hakuna uhuru ya wanachama wake dhidi ya mahakama, hakuna ukomo wa madaraka kwa uenyekiti, kusiginywa kwa katiba ya chama pale inapokuwa dhidi ya maslahi ya wakubwa.Ndio maana nasema kuna watu wamechukia kweli kweli kwa nini UKUTA hawakuingia mtaani wapambane na polisi CCM. Raha yao ni kuona wasiokubaliana nao wanapigwa, kuumizwa na kuuawa mradi tu madikteta uchwara wasikosolewe wala kuambiwa ukweli. Hivi mtanzania1989, unaona raha gani polisi wakiwaumiza raia wenzako kwa sababu tu wanadai Katiba iheshimiwe na kufuatwa?
Labda wakatawale wagonjwa Muhimbili! Labda umesahau kwamba hakuna kupiga siasa hadi 2020 na mwenye ruhusa hiyo ni nanii peke yake!! And Mag3, with due respect man, stop this damage control propaganda! Can you compare police's morale to kill against people's died morale to show The UnConquered Emperor that what he's doing is not right and completely unacceptable?! What then? No more fight for the right to practice politics as they see fit according to Political Parties Act?!Naunga mkono hoja. Chadema sasa ni lazima kifanye transformation kutoka chama cha kiharakati kuwa chama Tawala tarajiwa, huu ni mwanzo mzuri.
Pasco
Naunga mkono hoja. Chadema sasa ni lazima kifanye transformation kutoka chama cha kiharakati kuwa chama Tawala tarajiwa, huu ni mwanzo mzuri.
Pasco
mafanikio hupimwa kwa kutekeleza malengo, Chadema kilikuwa na malengo gani/mangapi na ni yapi/magapi yametekelezwa. Huwa hatupimi mafanikio kwa hisia. Vinginevyo Chadema kushindwa kutekeleza Ukuta wake hakuwezi hata kidogo kuitwa mafanikio! Publicity walioyoipata ni hasi siyo chanya. haiwezi kuwasaidia kwenye uchaguzi.duuu chadema nomaaaa....
wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa pia imefuruga budget ya police
Kujiliwaza. Message delivered? Yaani DrTulia atafuuzwa kesho. Au liveTV itaanza kuonyesha midomo iliyofungwa plaster. Victory in defeat indeed.UKUTA's orderly retreat has cheated the CCM police, hyped to maim or kill, out of their evil plan to spill innocent blood.
UKUTA's accomplishment has been as effective as a victory, sparing innocent lives but delivering their message...
The CCM police's morale is low; like vampires, they are confused and frustrated...their thirst for blood still unquenched.
Their street show, full of sound and fury, has served no useful purpose other than misuse of poor tax-payers money.
UKUTA's tactical retreat gives them a chance to wisely change parts of their strategy, now they know their enemy!
A retreating force is merely taking some time out to re-assess the stakes and so be ready for a better fight another day.
Hail to UKUTA! Dictatorship in Tanzania? No, never...
Tanzania Police? Ready to maim or kill who? UKUTA Demonstrators?