Ukute Hafiz Konkoni analipwa zaidi ya DIKSON JOB

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Bado naendelea kutafakari Kiwango cha Hafiz Konkoni. Sina baya naye lakini naendelea kumsubiri yule Konkoni aliyebamba kwenye Media zetu, yule ambaye ALLY KAMWE alituaminisha , yule ambaye tulisema TUISILA KISINDA KITU GANI BWANA, yule tuliyeamini kuwa ni mbadala wa FISTON KALALA MAYELE.

NINAAMINI PIA HUENDA ANA MSHAHARA MKUBWA KULIKO JOB, KIBWANA NA MZIZE
 
Kwani kipimo cha mshahara mkubwa kwako ni kipi??? Sababu za tofauti ya mshahara zipo nyingi kama vile forces of demand and supply, negotiation power n.k.
Changamoto kubwa ya Wachezaji Wazawa ni kutokuwa na Wakala na kama wapo basi uwezo ni mdogo hasa kwenye Negotiation Skills. Ingawa kwa Mchezaji Dickson Job ambaye anasimamiwa na Wakala wake (Kaka yake) George Job alijitahidi sana kufanya Negotiation na Yanga mpaka ilifikia kipindi ikawa inaonekana kama Dickson Job ataachana na Yanga. Yote hiyo ilikuwa ni kuhakikisha maslahi ya Dickson Job yanazingatiwa kwenye Mkataba wake mpya. Kwa ujumla Wachezaji wa Kigeni wana watu mahiri (Agents) wa kusimamia maslahi yao.
 
Bado naendelea kutafakari Kiwango cha Hafiz Konkoni. Sina baya naye lakini naendelea kumsubiri yule Konkoni aliyebamba kwenye Media zetu, yule ambaye ALLY KAMWE alituaminisha , yule ambaye tulisema TUISILA KISINDA KITU GANI BWANA, yule tuliyeamini kuwa ni mbadala wa FISTON KALALA MAYELE.

NINAAMINI PIA HUENDA ANA MSHAHARA MKUBWA KULIKO JOB, KIBWANA NA MZIZE
Binafsi sijaona ubaya wa Hafidh. Ni kawaida Watanzania kama Mtu anamiliki Toyota Runx akiuza watu wanataka kumuona anaendesha Runx tena. Haitatokea striker Yanga akawa Sawa na Mayele. Mfumo wa kocha mpya haujengi mashambulizi juu ya kichwa kimoja.
 
Harafu pia Hafizi sio kwamba Ni mchezaji mbaya jamaa ana uwezo mzuri wa kumiliki mpira na kutoa pass bila kupoteza.
Jana alikua anafunga Kama asingevutwa na mtu wa mwisho akielekea kumsalimia kipa wa Jkt.
Tusiwe na wasiwasi nae jamaa ata deliver tu ila sio tumlazimishe afanye kama Mayele utakua unamuonea.
 
Akili za Feisal zina Reflect akili za watu wengi katika jamii yetu.
Mshahara ni makubaliano kati ya mwajili na mwajiliwa ikiwa kwenye meza ya majadiliano huna uwezo tafuta watu ikiwezekana walipe ili wakusaidie.

Matokeo yake baada ya muda unahisi unapunjwa kuliko wenzako na unaleta habari za kula ugali na sukari.
 
Wachezaji wetu wanapaswa kujua thamani yao, wakiwa wanaingia mikataba yao, na sio kulia lia hapo baadae.

Ila mleta mada hujathibitisha haya madai yako
 
Bado naendelea kutafakari Kiwango cha Hafiz Konkoni. Sina baya naye lakini naendelea kumsubiri yule Konkoni aliyebamba kwenye Media zetu, yule ambaye ALLY KAMWE alituaminisha , yule ambaye tulisema TUISILA KISINDA KITU GANI BWANA, yule tuliyeamini kuwa ni mbadala wa FISTON KALALA MAYELE.

NINAAMINI PIA HUENDA ANA MSHAHARA MKUBWA KULIKO JOB, KIBWANA NA MZIZE
Hakuna aliesema ni mbadala wa mayele mkuu. Angalia Uzi wako usije kuukimbia.
 
Bado naendelea kutafakari Kiwango cha Hafiz Konkoni. Sina baya naye lakini naendelea kumsubiri yule Konkoni aliyebamba kwenye Media zetu, yule ambaye ALLY KAMWE alituaminisha , yule ambaye tulisema TUISILA KISINDA KITU GANI BWANA, yule tuliyeamini kuwa ni mbadala wa FISTON KALALA MAYELE.

NINAAMINI PIA HUENDA ANA MSHAHARA MKUBWA KULIKO JOB, KIBWANA NA MZIZE
subira huvita kheri,usiwe na haraka
 
Hata Ngoma analipwa pesa nyingi kuliko Mzamiru
 
Binafsi sijaona ubaya wa Hafidh. Ni kawaida Watanzania kama Mtu anamiliki Toyota Runx akiuza watu wanataka kumuona anaendesha Runx tena. Haitatokea striker Yanga akawa Sawa na Mayele. Mfumo wa kocha mpya haujengi mashambulizi juu ya kichwa kimoja.
Point well noted
 
Binafsi namuona Hafiz mchezaji wa kawaida labda kama ataimarika akiwa Yanga.

Halafu mashabiki lazima tujue, mchezaji wa kimataifa anayesajiliwa Simba au Yanga haji kujifunza mpira bali anatakiwa kuja akiwa amekamilika, hivyo kamati ya usajili kama ina watu wa mpira, ukimtizama tu kupitia video zake, utajua huyu mchezaji amekamilika au bado anajifunza mpira. Inabaki sasa maamuzi ya kamati kama wamsajili ili kuonesha wamesajili kimataifa halafu mchezaji husika ataimarika akiwa ndani ya klabu.

Wachezaji wa kuvumilia muda mrefu ni wachezaji wazawa ambao wana faida ya uzawa.

Binafsi namuona Hafiz anafanana na washambuliaji wa ndani tu na wengine wanamzidi. Hazif yupo baridi sana, aongeze upambanaji akiwa pale mbele, afanye kukuru kakara za hapa na pale.

Huyo Ngushi sijui gundu gani linamkabili. Msimu huu Ngush alikuwa ana nafasi ya kupambana kuwa mshambuliaji wakati Yanga wakisubiri kusajili straika mpya, kwa sababu Ngushi anaziweza heka heka, ila ndiyo hivyo mechi ile alikuwa anaanguka anguka.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Bado naendelea kutafakari Kiwango cha Hafiz Konkoni. Sina baya naye lakini naendelea kumsubiri yule Konkoni aliyebamba kwenye Media zetu, yule ambaye ALLY KAMWE alituaminisha , yule ambaye tulisema TUISILA KISINDA KITU GANI BWANA, yule tuliyeamini kuwa ni mbadala wa FISTON KALALA MAYELE.

NINAAMINI PIA HUENDA ANA MSHAHARA MKUBWA KULIKO JOB, KIBWANA NA MZIZE
Kabla hujahitimisha hii mada yako, utuletee pia mlinganisho wa mshahara kati Luis Miquison aka Konde Boy Msugua benchi na Kibu Denis kipenzi cha kocha Robertihno.!!

Maana kila siku mnalinganisha mishahara ya wachezaji wa Yanga tu! Tena mkiwa hamna hata ushahidi, as if kwenye timu nyingine wachezaji wanalipwa mishahara mikubwa, na inayolingana.
 
Changamoto kubwa ya Wachezaji Wazawa ni kutokuwa na Wakala na kama wapo basi uwezo ni mdogo hasa kwenye Negotiation Skills. Ingawa kwa Mchezaji Dickson Job ambaye anasimamiwa na Wakala wake (Kaka yake) George Job alijitahidi sana kufanya Negotiation na Yanga mpaka ilifikia kipindi ikawa inaonekana kama Dickson Job ataachana na Yanga. Yote hiyo ilikuwa ni kuhakikisha maslahi ya Dickson Job yanazingatiwa kwenye Mkataba wake mpya. Kwa ujumla Wachezaji wa Kigeni wana watu mahiri (Agents) wa kusimamia maslahi yao.
Naskia mshahara wake ni millioni 10 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom