Changamoto kubwa ya Wachezaji Wazawa ni kutokuwa na Wakala na kama wapo basi uwezo ni mdogo hasa kwenye Negotiation Skills. Ingawa kwa Mchezaji Dickson Job ambaye anasimamiwa na Wakala wake (Kaka yake) George Job alijitahidi sana kufanya Negotiation na Yanga mpaka ilifikia kipindi ikawa inaonekana kama Dickson Job ataachana na Yanga. Yote hiyo ilikuwa ni kuhakikisha maslahi ya Dickson Job yanazingatiwa kwenye Mkataba wake mpya. Kwa ujumla Wachezaji wa Kigeni wana watu mahiri (Agents) wa kusimamia maslahi yao.Kwani kipimo cha mshahara mkubwa kwako ni kipi??? Sababu za tofauti ya mshahara zipo nyingi kama vile forces of demand and supply, negotiation power n.k.
Binafsi sijaona ubaya wa Hafidh. Ni kawaida Watanzania kama Mtu anamiliki Toyota Runx akiuza watu wanataka kumuona anaendesha Runx tena. Haitatokea striker Yanga akawa Sawa na Mayele. Mfumo wa kocha mpya haujengi mashambulizi juu ya kichwa kimoja.Bado naendelea kutafakari Kiwango cha Hafiz Konkoni. Sina baya naye lakini naendelea kumsubiri yule Konkoni aliyebamba kwenye Media zetu, yule ambaye ALLY KAMWE alituaminisha , yule ambaye tulisema TUISILA KISINDA KITU GANI BWANA, yule tuliyeamini kuwa ni mbadala wa FISTON KALALA MAYELE.
NINAAMINI PIA HUENDA ANA MSHAHARA MKUBWA KULIKO JOB, KIBWANA NA MZIZE
Hakuna aliesema ni mbadala wa mayele mkuu. Angalia Uzi wako usije kuukimbia.Bado naendelea kutafakari Kiwango cha Hafiz Konkoni. Sina baya naye lakini naendelea kumsubiri yule Konkoni aliyebamba kwenye Media zetu, yule ambaye ALLY KAMWE alituaminisha , yule ambaye tulisema TUISILA KISINDA KITU GANI BWANA, yule tuliyeamini kuwa ni mbadala wa FISTON KALALA MAYELE.
NINAAMINI PIA HUENDA ANA MSHAHARA MKUBWA KULIKO JOB, KIBWANA NA MZIZE
subira huvita kheri,usiwe na harakaBado naendelea kutafakari Kiwango cha Hafiz Konkoni. Sina baya naye lakini naendelea kumsubiri yule Konkoni aliyebamba kwenye Media zetu, yule ambaye ALLY KAMWE alituaminisha , yule ambaye tulisema TUISILA KISINDA KITU GANI BWANA, yule tuliyeamini kuwa ni mbadala wa FISTON KALALA MAYELE.
NINAAMINI PIA HUENDA ANA MSHAHARA MKUBWA KULIKO JOB, KIBWANA NA MZIZE
Bado naendelea kutafakari Kiwango cha Hafiz Konkoni. Sina baya naye lakini naendelea kumsubiri yule Konkoni aliyebamba kwenye Media zetu, yule ambaye ALLY KAMWE alituaminisha , yule ambaye tulisema TUISILA KISINDA KITU GANI BWANA, yule tuliyeamini kuwa ni mbadala wa FISTON KALALA MAYELE.
NINAAMINI PIA HUENDA ANA MSHAHARA MKUBWA KULIKO JOB, KIBWANA NA MZIZE
Point well notedBinafsi sijaona ubaya wa Hafidh. Ni kawaida Watanzania kama Mtu anamiliki Toyota Runx akiuza watu wanataka kumuona anaendesha Runx tena. Haitatokea striker Yanga akawa Sawa na Mayele. Mfumo wa kocha mpya haujengi mashambulizi juu ya kichwa kimoja.
Kabla hujahitimisha hii mada yako, utuletee pia mlinganisho wa mshahara kati Luis Miquison aka Konde Boy Msugua benchi na Kibu Denis kipenzi cha kocha Robertihno.!!Bado naendelea kutafakari Kiwango cha Hafiz Konkoni. Sina baya naye lakini naendelea kumsubiri yule Konkoni aliyebamba kwenye Media zetu, yule ambaye ALLY KAMWE alituaminisha , yule ambaye tulisema TUISILA KISINDA KITU GANI BWANA, yule tuliyeamini kuwa ni mbadala wa FISTON KALALA MAYELE.
NINAAMINI PIA HUENDA ANA MSHAHARA MKUBWA KULIKO JOB, KIBWANA NA MZIZE
Naskia mshahara wake ni millioni 10 kwa mweziChangamoto kubwa ya Wachezaji Wazawa ni kutokuwa na Wakala na kama wapo basi uwezo ni mdogo hasa kwenye Negotiation Skills. Ingawa kwa Mchezaji Dickson Job ambaye anasimamiwa na Wakala wake (Kaka yake) George Job alijitahidi sana kufanya Negotiation na Yanga mpaka ilifikia kipindi ikawa inaonekana kama Dickson Job ataachana na Yanga. Yote hiyo ilikuwa ni kuhakikisha maslahi ya Dickson Job yanazingatiwa kwenye Mkataba wake mpya. Kwa ujumla Wachezaji wa Kigeni wana watu mahiri (Agents) wa kusimamia maslahi yao.