Ungekuwa na akili ungehoji walioko Bungeni Kama kina msukuma std 7 analamba mshahara wa 22m per month afu mwl wa degree analipwa laki7 take home laki5.
Mpira ni biashara namna unavyojibrand ndivyo utapata faida yake, umewahi kuhoji Okwa alikuwa analipwa pesa ndefu kuliko mzamiru?.