Ukuzaji maumbile ya kiume

Habarini ndugu,ningependa kujua ni njia gani sahihi naweza kuitumia kuongeza ukubwa wa maumbile yangu ya kiume kwani ni madogo na yananiathiri sana kisaikolojia kila ninapoyafikilia

Mkuu rizika the way Mungu alivyokuumba usijaribu kumsahihisha muumbaji wako!
 
Tatizo mwatafuta watu wenye mashimo

wakati mwingine unaamua kumkubali mtu alivyo halafu bado majanga kibao. michepuko kila kona hajali pendo lako dawa kumbwaga akutane na makauzu watamchana laivu na kibamia chake
 
mwenyewe navipendaje, hata ukimbie round 7 huchubuki, hakichoshi kesho unaanza upya daily mautamuu
 
mwenyewe navipendaje, hata ukimbie round 7 huchubuki, hakichoshi kesho unaanza upya daily mautamuu

umeona yan hamna michubuko afu unaride tu haina shida ila mtu akiwa na limuhogo la jang‘ombe hata ukiikalia kuikatikia ni sheeda
 
mi ctaki hata kusikia hogo la jang'ombe nahitaji kitu potabe style yoyote unacheka tu
 
mmmh naona unajaribu kuwapa watu moyo... sio mbaya lakini!!!!
 
Achana na hiyo kitu!Alichokupa Mungu shukuru tu kwani hata kama utakosa heshima kwa mke na Mungu mwenyewe akakuheshimu bado huna hasara.Mitihani kama hiyo majibu yake anayo Mungu pekee!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Hongera sana Mungu kakujalia hekima, si wengi wanaweza kutoa ushauri kama huo.
 
umeona yan hamna michubuko afu unaride tu haina shida ila mtu akiwa na limuhogo la jang‘ombe hata ukiikalia kuikatikia ni sheeda

Oh, I see!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Google "penis exercise" utaletewa njia nyingi ambazo unaweza zifanya nyumban kwako bila kumeza dawa na ukafanikiwa
 
Onana na dokta jerome atakusaidia, mgugo jerome herb clinic dawa ya kurefusha na kunenepesha uume. Utampata. Mimi alinisaidia pia
 
Habarini ndugu,ningependa kujua ni njia gani sahihi naweza kuitumia kuongeza ukubwa wa maumbile yangu ya kiume kwani ni madogo na yananiathiri sana kisaikolojia kila ninapoyafikilia

Mkuu kuna hii article. Huenda itakufaa

Source: http://www.medicalnewstoday.com/articles/271647.php

Hebu pima maelezo. Huenda wasiwasi wako hauna msingi sana. Huyo uliyembwaga ni katika hao 15% ya kinadada wanao "mind" sana size lakini unaona kabisa kwamba 85% ya kina dada hawa "mind" sana. Kisha hao wadada wanasema bayana kuwa upana ndio ndio issue sio urefu. Zingatia kuwa ukijiangalia tokea juu LAZIMA utaona kuwa "jamaa" ni mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…