Jamani hebu tueni na huruma kwa watu or mtu mwenye kutaka msaada . Tusiwe tunachukulia mzaha kwenye matatizo ya watu. Kumbukeni MTU mpaka ameamua kuja hapa ni kwa sababu ameiheshimu hii safu na yuko desperate kutaka alternative ways kabla hajaweka maamuzi . Sasa tunapomcheka au kutania fikiria ingekuwa ni wewe.unafanyiwa hivi ungejisikiaje? Tujifunze kuwa na sincerely an empathy heart please.
Tujitahidi kwa hili kwa Kweli . kama tukiwa hatuna cha kusema tupite tuu na kuwaachi wengine . Nisameheni kama Nimekosa. Asante.
Tujitahidi kwa hili kwa Kweli . kama tukiwa hatuna cha kusema tupite tuu na kuwaachi wengine . Nisameheni kama Nimekosa. Asante.