Ukuzaji maumbile ya kiume

Ukuzaji maumbile ya kiume

Jamani hebu tueni na huruma kwa watu or mtu mwenye kutaka msaada . Tusiwe tunachukulia mzaha kwenye matatizo ya watu. Kumbukeni MTU mpaka ameamua kuja hapa ni kwa sababu ameiheshimu hii safu na yuko desperate kutaka alternative ways kabla hajaweka maamuzi . Sasa tunapomcheka au kutania fikiria ingekuwa ni wewe.unafanyiwa hivi ungejisikiaje? Tujifunze kuwa na sincerely an empathy heart please.

Tujitahidi kwa hili kwa Kweli . kama tukiwa hatuna cha kusema tupite tuu na kuwaachi wengine . Nisameheni kama Nimekosa. Asante.
 
Hakuna kitu kibaya katika maisha kama kukosa self confidence. Haya basi ukimaliza kutafuta dawa ya kuongeza uume tafuta ya kuongeza urefu wa mikono yako.

Dr. Peale anasema, Practice confidence and faith then all your fears and insecurities will have no power over you.
 
Hakuna kitu kama kibamia. KuSex ni kama mguu na kiatu. Tatizo ni pale namba 5 anapotia mguu wake kwenye namba 12. Ni lazima namba 12 alalamikie mguu kujihami. Wanaume waambieni wanawake ukweli. Dada duu hii ni kubwa fanya mpango upunguze. Madaktari wapo. Wengine wamepitishwa mavyuma na mikono kwenye abortions na kujifungua.

Ikipanuka lawama anatupiwa mwanaume. Eti vibamia. Hata wao wanajua wamebeba mabakuli. Waambieni acheni kujichukia. Huna shida kabisaaa. Get your size. Stop complaining.
 
Nyoa mav..Z.
Huongeza maumbile yaonekane makubwa.

Fahamu namna ya kutumia hicho ulichoumbiwa na mungu.

Wakati mwingine ukubwa hausaidiii

Maujuzi na mastyle ndo habari ya 6*6.
 
Acha kupanik. Kama wanaume walivyo size mbalimbali hata wanawake wako hivyo huko chini. Kama unavyoona wenye maziwa makubwa hadi madogo saana hata down zao nazo ni tofauti. Usitafute dawa. Achaaaaa.
 
Ila kuwa makin usije ukatumia kila dawa ukashangaa mjomba fofofo mazima maana town watu hawajal afya za wenzao ila wanachotaka ni pesa pia kama vip tafuta madem wenye umri mdogo
 
Jamani hebu tueni na huruma kwa watu or mtu mwenye kutaka msaada . Tusiwe tunachukulia mzaha kwenye matatizo ya watu. Kumbukeni MTU mpaka ameamua kuja hapa ni kwa sababu ameiheshimu hii safu na yuko desperate kutaka alternative ways kabla hajaweka maamuzi . Sasa tunapomcheka au kutania fikiria ingekuwa ni wewe.unafanyiwa hivi ungejisikiaje? Tujifunze kuwa na sincerely an empathy heart please. Tujitahidi kwa hili kwa Kweli . kama tukiwa hatuna cha kusema tupite tuu na kuwaachi wengine . Nisameheni kama Nimekosa. Asante.

natumain ujumbe umepokelewa na utafanyiwa kazi maana nilitaka niandike ulichoandika. Kwel watu wengine siyo kabisa yan matatizo(machungu) ya wengine ndo furaha yao
 
jaribu kutumia mlango wa nyuma lazima aone ni muhogo wa ukwel.... uko mbele wameshalegea sana
 
Habarini ndugu,ningependa kujua ni njia gani sahihi naweza kuitumia kuongeza ukubwa wa maumbile yangu ya kiume kwani ni madogo na yananiathiri sana kisaikolojia kila ninapoyafikilia

Hayo maumbile yako ni madogo yana nchi ngapi? Je umewasiliana na unayetaka kumkomoa naye karidhia? Kama una chini ya Inch 4.7 basi itakuwa kibamia lakini pia unapaswa kujikubali jinsi ulivyo.
 
Kuna Dawa zinauzwa pharmacy lakini nakushauri kamuone Doctor kwanza . Hizo niliziona majuu , sasa sijui Bongo land hapo zipo au. Pole ndugu usijisikie vibaya, kuwa na kujiamini . Na kuwa comfortable na jinsi ulivyoumbwa . Asante.

We mtoto ulishampata MR FB...?
 
jaman hata usihangaike kuongeza ukubwa wa mboo unakuwa determined na yule aliyechomekwa waweza kwenda kwingine akaona kawaida tu na akainjoy na kuna wanawawake wanapenda vibamia km mie yan kiroho afi nainjoi na kinakuna vizuri hapa mbelembele ndo penye utamu cio lazima ufikie huko juu sijui kwny cervix.

Afu unaweza ukaikalia style yoyote yan huumii......akha cha muhimu kufikishwa kibo tu mengine ya ziada kaka..team vibamia oyeee
 
jaman hata usihangaike kuongeza ukubwa wa mboo unakuwa determined na yule aliyechomekwa...waweza kwenda kwingine akaona kawaida tu na akainjoy..na kuna wanawawake wanapenda vibamia km mie yan kiroho afi nainjoi na kinakuna vizuri hapa mbelembele ndo penye utamu cio lazima ufikie huko juu sijui kwny cervix. af unaweza ukaikalia style yoyote yan huumii......akha cha muhimu kufikishwa kibo tu mengine ya ziada kaka..team vibamia oyeee
Ohhhhoooo akipaona hapa ataomba mech ya kirafiki
 
Back
Top Bottom