Ukwaju ni kiboko ya kitambi

Ase ukwaju balaa, huko usukumami wanainywa kwenye uji
 
Nina green tea ina miezi minne kila nikiwaza kuinywa nikiwaza shughuli yake na muda wa kuinywa mpaka vitu vyote viishe nashindwa. Nitajaribu juice ya ukwaju.
Naiandaaje kwanza?
Uliipata wapi na mie nikanunue!!...hili tumbo litoke!..
 
Mkuu mwambie kabisa akinywa hyo juice nusu lita afunge msuli na asikae zaidi mita kumi kutoka choo kilipo
 
Nitajitahidi kuinywa japo inaboa.
 
Kuna kitu wanaita Shishimbi, juisi ya mchanganyiko wa ukwaju, ndimu na tangawizi. Hii ukiinywa kila siku glass moja ndani ya mwezi ni tumbo flat.
Ila jamani hizi juisi mzingatie mnakulq nini pia, sio unapiga supu lina mafuta kisha unapooza na juisi hizi, utakuwa unatwanga maji kwenye kinu. Kuleni visivyo na mafuta kupata matokeo chanya na ya muda mfupi.
 
U
Una maana wenye vitambi yale ni mavi yameganda tumboni.
 
U

Una maana wenye vitambi yale ni mavi yameganda tumboni.
KITAMBI ASILIMIA KUBWA NI MLUNDIKANO WA KINYESI TUMBONI...

VINGINEVYO WANAOPINGA HILI HUWENDA WANA VITAMBI HAWATAKI KUKUBALIANA NA UHALISIA...



HUKO CHINA KUNA MASSAGE IMEGUNDULIWA KAMA WANAVYOSEMA WADAU..

SASA IWEJE UNAKUBALI KWAMBA UKIFANYIWA MASSAGE HIYO UNAENDA KUHARISHA KISHA UNAKATAA KWAMBA KITAMBI NI MINYESI NA UCHAFU HUKO TUMBONI???


UKIMUONA MTU ANA KITAMBI JUA KUNYA YAKE NI KWA TABU HUWENDA KWA SIKU KAJITAHIDI BASI KANYA KINYESI UKUBWWA WAKE KIDOLE GUMBA...
 
U

Una maana wenye vitambi yale ni mavi yameganda tumboni.
asilimia kubwa iko hvyo mkuu...

we jaribu kufikiria tu mkuu ile massage wanayomfanyia mtu tumboni mpaka anapatwa na haja unadhani ile haja inayompata mtu mkuu ni mafuta au kinyesi kileeee???


kinyesi hutokea mlango wa nyuma tu ...

kila kitu kina njia yake..
ila wenye vitambi naona wanapinga vikali uzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…