Ukwaju ni kiboko ya kitambi

Ukwaju ni kiboko ya kitambi

Nina green tea ina miezi minne kila nikiwaza kuinywa nikiwaza shughuli yake na muda wa kuinywa mpaka vitu vyote viishe nashindwa. Nitajaribu juice ya ukwaju.
Naiandaaje kwanza?
Uliipata wapi na mie nikanunue!!...hili tumbo litoke!..
 
ndo hvyo mkuu we kama unakitambi ebu asubuhi jilazimishe kunywa Nusu lita ya juisi ya ukwaju ulotengeza mwenyewe alafu njo hapa utupe mrejesho wake...


sina maana kitambi kitaisha laa lakini ukifika toi yani ukisema upanue miguu tu mambo hayo yanatoka ...

na ukisema ujikamue aaaaahhh kama unakojoa mkojo mkuu yani mwemweree kabisa
Mkuu mwambie kabisa akinywa hyo juice nusu lita afunge msuli na asikae zaidi mita kumi kutoka choo kilipo
 
Green tea ni nzuri sana. Usifatishe taste yake.

I like to take a cup with every meal and in between na alternate na detox water.

Kazana, ina benefits kibao. Na unaweza kuikamulia ndimu hiyo green tea.

Angalizo, nikiinywa on an empty stomach lazima nitapike.
Nitajitahidi kuinywa japo inaboa.
 
Kuna kitu wanaita Shishimbi, juisi ya mchanganyiko wa ukwaju, ndimu na tangawizi. Hii ukiinywa kila siku glass moja ndani ya mwezi ni tumbo flat.
Ila jamani hizi juisi mzingatie mnakulq nini pia, sio unapiga supu lina mafuta kisha unapooza na juisi hizi, utakuwa unatwanga maji kwenye kinu. Kuleni visivyo na mafuta kupata matokeo chanya na ya muda mfupi.
 
U
kitambi kinapunguzwakwa njia nyingi tu.

mwingine anaweza akafanya mazoezi na asipungue kisha akapungua kwa mkopo..

mwingine anapungua kwa maji mengi na wengine wanapungua kwa kwenda chooni sana..
Muhimu kitambi mara nyingi ni kinyesi kilichoganda masiku tele ..

haiwezekani mtu awe na kitambi kisha tuseme sio mabaki ya chakulbali mafuta tu...sasa hayo mafuta yametlkana na nini kama sio chakula ambacho kilibakia bila matumizi ??


ukila ukwaju unaenda kusafisha utumbo mpana na kukwangua mauchafu yote japo sio kwa siku moja au wiki bali tumia mfululizo
Una maana wenye vitambi yale ni mavi yameganda tumboni.
 
U

Una maana wenye vitambi yale ni mavi yameganda tumboni.
KITAMBI ASILIMIA KUBWA NI MLUNDIKANO WA KINYESI TUMBONI...

VINGINEVYO WANAOPINGA HILI HUWENDA WANA VITAMBI HAWATAKI KUKUBALIANA NA UHALISIA...



HUKO CHINA KUNA MASSAGE IMEGUNDULIWA KAMA WANAVYOSEMA WADAU..

SASA IWEJE UNAKUBALI KWAMBA UKIFANYIWA MASSAGE HIYO UNAENDA KUHARISHA KISHA UNAKATAA KWAMBA KITAMBI NI MINYESI NA UCHAFU HUKO TUMBONI???


UKIMUONA MTU ANA KITAMBI JUA KUNYA YAKE NI KWA TABU HUWENDA KWA SIKU KAJITAHIDI BASI KANYA KINYESI UKUBWWA WAKE KIDOLE GUMBA...
 
U

Una maana wenye vitambi yale ni mavi yameganda tumboni.
asilimia kubwa iko hvyo mkuu...

we jaribu kufikiria tu mkuu ile massage wanayomfanyia mtu tumboni mpaka anapatwa na haja unadhani ile haja inayompata mtu mkuu ni mafuta au kinyesi kileeee???


kinyesi hutokea mlango wa nyuma tu ...

kila kitu kina njia yake..
ila wenye vitambi naona wanapinga vikali uzi huu
 
Back
Top Bottom