Ukwaju umeniponya na tatizo la vidonda vya tumbo

Bacore

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
222
Reaction score
228
habari ndugu jamaa na marafiki.

nipo hapa kuwashauri na pia kuwasaidia, wote wanao sumbuliwa na vidonda vya tumbo! mimi niliwai kuumwa vidonda vya tumbo taklibani miaka 5. vilinitesa sana, kama mnavyo jua vidonda vya tumbo vinavyo tesa, kama hujawai umwa vidonda vya tumbo najua huwezi nielewa, hayo maumivu sio kawaida aisee!

sikuwai tumia vidonge wala sindano, nilizingatia mmea mmoja unao julikana kama ukwaju, ukidhingatia vipimo na ujazo,

kwakweri ukwaju ni dawa ya asili ya vidonda vya tumbo, sasa ushauri wa bure ndio huo! ukiona unapata utata naweza nikakufundisha jinsi ya kutengeneza kwa mahala ya kwanza nikaja hata hapo ulipo, then baada ya hapo utaendelea wewe mwenyewe! lakini pia ukiweza basi tengeneza mwenyewe kwa kuchanganya na maji, hiyo ndio dawa! siku njema!
 
Si ungetuelekeza mkuu, tutatengenezaje bila maelekezo yoyote!?
 
Embu tuambizane jamani ukwaju unauchemsha unachuja juice yake unainywa au ukwaju unaufanyaje sasa
 
habari ndugu jamaa na marafiki.

nipo hapa kuwashauri na pia kuwasaidia, wote wanao sumbuliwa na vidonda vya tumbo! mimi niliwai kuumwa vidonda vya tumbo taklibani miaka 5. vilinitesa sana, kama mnavyo jua vidonda vya tumbo vinavyo tesa, kama hujawai umwa vidonda vya tumbo najua huwezi nielewa, hayo maumivu sio kawaida aisee!

sikuwai tumia vidonge wala sindano, nilizingatia mmea mmoja unao julikana kama ukwaju, ukidhingatia vipimo na ujazo,

kwakweri ukwaju ni dawa ya asili ya vidonda vya tumbo, sasa ushauri wa bure ndio huo! ukiona unapata utata naweza nikakufundisha jinsi ya kutengeneza kwa mahala ya kwanza nikaja hata hapo ulipo, then baada ya hapo utaendelea wewe mwenyewe! lakini pia ukiweza basi tengeneza mwenyewe kwa kuchanganya na maji, hiyo ndio dawa! siku njema!
Unatumia kwa mda gani?
 
huna tofauti na yule mganga wa jadi anayetuma ujumbe wa simu kwenye namba za simu za kila mtu akijinadi kuwa anatoka Sumbawanga na amesaidia watu wengi kupata mafanikio. Vinginevyo waeleze wana jf wenzako wataponaje vidonda vya tumbo kwa ukwaju.
 
Mleta mada ana tatizo la kujielezea clear!
Poor spelling
Kutumia aya(paragraph)
Tofauti ya R na L ni tatizo.
Tumvumilie ila tunataka utuambie huo ukwaju unaandaliwaje na kutumiwaje kwa siku mara ngapi na kwa mda gani basi hizo nyingine ni OPs.
 
SWOT analysis
 
JF ni kama familia ingawa hatufahamiani, natumani mleta mada atawatendea haki wanafamilia wenzake, funguka mkuu.
 
Mleta mada ana tatizo la kujielezea clear!
Poor spelling
Kutumia aya(paragraph)
Tofauti ya R na L ni tatizo.
Tumvumilie ila tunataka utuambie huo ukwaju unaandaliwaje na kutumiwaje kwa siku mara ngapi na kwa mda gani basi hizo nyingine ni OPs.
lakini ujumbe umeeleweka sio?
 
Back
Top Bottom