Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo unatumia shida za watu kufanya utapeli sio?ujumbe huu upo kwa ajiri ya wenye shida ya kupona matatizo ya vidonda vya tumbo! ni vyema ukatambua hilo!
Acha kujifanya Dr Mwaka wewe.... wizi mtupuwewe kama huna jipya ni bora ukaka kimya kuliko kujidhalilisha hapa! matapeli unawafahamu wewe au unalopoka tuu!
dadavua mbona hujaandika ujazi=o na kipimo cha skunywa aiseehabari ndugu jamaa na marafiki.
nipo hapa kuwashauri na pia kuwasaidia, wote wanao sumbuliwa na vidonda vya tumbo! mimi niliwai kuumwa vidonda vya tumbo taklibani miaka 5. vilinitesa sana, kama mnavyo jua vidonda vya tumbo vinavyo tesa, kama hujawai umwa vidonda vya tumbo najua huwezi nielewa, hayo maumivu sio kawaida aisee!
sikuwai tumia vidonge wala sindano, nilizingatia mmea mmoja unao julikana kama ukwaju, ukidhingatia vipimo na ujazo,
kwakweri ukwaju ni dawa ya asili ya vidonda vya tumbo, sasa ushauri wa bure ndio huo! ukiona unapata utata naweza nikakufundisha jinsi ya kutengeneza kwa mahala ya kwanza nikaja hata hapo ulipo, then baada ya hapo utaendelea wewe mwenyewe! lakini pia ukiweza basi tengeneza mwenyewe kwa kuchanganya na maji, hiyo ndio dawa! siku njema!
hapo umesema unachanganya mwenyewe inabidi ufahamishe uma unaweka ujazo gani na kipimo binadamu anafaa kunywa kwasiku hapo uzini kwako hujaandika lolote la maana zaidi ya kusema umeponyeka sasa unakuwa na majibu ya ukali kwasababu ipi labda...............kwani ulitumwa ubandike uzi hapa si ungesherehekea tu na familia yako kuwa umepona halafu bhaaas.............lejea uzini!
wewe sio mgonjwa wagonjwa wamesha pata msaada!hapo umesema unachanganya mwenyewe inabidi ufahamishe uma unaweka ujazo gani na kipimo binadamu anafaa kunywa kwasiku hapo uzini kwako huijaandika lolote la maana zaidi ya kusema umeponyeka sasa unakuwa na majibu ya ukali kwasababu ipi labda...............
Kiongozi tunaomba utueleze jinsi ya kutengeneza kwa mfano maji kiasi gani, unakunywa kiasi gani na kwa mda gani, hapo utakuwa umetusaidia zaidi. Ahsantehabari ndugu jamaa na marafiki.
nipo hapa kuwashauri na pia kuwasaidia, wote wanao sumbuliwa na vidonda vya tumbo! mimi niliwai kuumwa vidonda vya tumbo taklibani miaka 5. vilinitesa sana, kama mnavyo jua vidonda vya tumbo vinavyo tesa, kama hujawai umwa vidonda vya tumbo najua huwezi nielewa, hayo maumivu sio kawaida aisee!
sikuwai tumia vidonge wala sindano, nilizingatia mmea mmoja unao julikana kama ukwaju, ukidhingatia vipimo na ujazo,
kwakweri ukwaju ni dawa ya asili ya vidonda vya tumbo, sasa ushauri wa bure ndio huo! ukiona unapata utata naweza nikakufundisha jinsi ya kutengeneza kwa mahala ya kwanza nikaja hata hapo ulipo, then baada ya hapo utaendelea wewe mwenyewe! lakini pia ukiweza basi tengeneza mwenyewe kwa kuchanganya na maji, hiyo ndio dawa! siku njema!
Poa sana,1. Chukuwa ukwaju na ujaze katika kidumu cha lita 5
2. weka maji mpaka yatakapo jaa, tia sukari kidogo kupunguza uchungu
3. subiri baada ya muda fulani hivi, ule uji uji uchanganyike na ukwaju iwe juice.
4. kunywa kama unakunywa maji ya kunywa, na tumbo lisiwe na kitu ndani yake/yaani usiwe umekula kitu chochote.
5. unaweza ukasikia maumivu lakini jikaze tuu, ndio kupona kunakuja.
6. utakuwa unabadilisha maji maana yatakuwa yanaisha katika kile kidumu,hivyo hivyo mpaka ule ukwaju umepukutisha radha yote.
7. usinywe maji ya kunywa unapo tumia, unywe ukwaju tuu,hata lita moja kwa mkupuo tena ukwaju ule mzito.
8. fanya hivyo siku zote mfululizo kama wiki hivi.
10. siku zinapo kwenda, utaanza kuona nafuu,
11. usinywe vitu vyenye asidi kari, kama soda, maembe,chungwa,nanasi, nk
12. baada ya miezi mitano ukiona hujisikiimaumivu, jaribu afya yako kwa kula maharage.
13. usiache kutumia ukwaju hata kama ni mara mojamoja!