Bacore
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 222
- 228
habari ndugu jamaa na marafiki.
nipo hapa kuwashauri na pia kuwasaidia, wote wanao sumbuliwa na vidonda vya tumbo! mimi niliwai kuumwa vidonda vya tumbo taklibani miaka 5. vilinitesa sana, kama mnavyo jua vidonda vya tumbo vinavyo tesa, kama hujawai umwa vidonda vya tumbo najua huwezi nielewa, hayo maumivu sio kawaida aisee!
sikuwai tumia vidonge wala sindano, nilizingatia mmea mmoja unao julikana kama ukwaju, ukidhingatia vipimo na ujazo,
kwakweri ukwaju ni dawa ya asili ya vidonda vya tumbo, sasa ushauri wa bure ndio huo! ukiona unapata utata naweza nikakufundisha jinsi ya kutengeneza kwa mahala ya kwanza nikaja hata hapo ulipo, then baada ya hapo utaendelea wewe mwenyewe! lakini pia ukiweza basi tengeneza mwenyewe kwa kuchanganya na maji, hiyo ndio dawa! siku njema!