Ukwaju umeniponya na tatizo la vidonda vya tumbo

tunamuombea msamaha kwani sio akili yake hii na vyuma vimekaza
 
Nasubiria kusikia kuwa anao ukwaju mwingi sana kwahiyo anaehitaji atapewa namba ya simu...
 
Kwahyo unatumia shida za watu kufanya utapeli sio?
wewe kama huna jipya ni bora ukaka kimya kuliko kujidhalilisha hapa! matapeli unawafahamu wewe au unalopoka tuu!
 
dadavua mbona hujaandika ujazi=o na kipimo cha skunywa aisee
 
lejea uzini!
hapo umesema unachanganya mwenyewe inabidi ufahamishe uma unaweka ujazo gani na kipimo binadamu anafaa kunywa kwasiku hapo uzini kwako hujaandika lolote la maana zaidi ya kusema umeponyeka sasa unakuwa na majibu ya ukali kwasababu ipi labda...............kwani ulitumwa ubandike uzi hapa si ungesherehekea tu na familia yako kuwa umepona halafu bhaaas.............
 
wewe sio mgonjwa wagonjwa wamesha pata msaada!
 
Kiongozi tunaomba utueleze jinsi ya kutengeneza kwa mfano maji kiasi gani, unakunywa kiasi gani na kwa mda gani, hapo utakuwa umetusaidia zaidi. Ahsante
 
Ni urongo.
Sasa wewe kama unavidonda vya tumboni jidanganye alafu unywe hayo maji ya ukwaju.Ni sawa na kumwagia ndimu katika jeraha bichi.
 
1. Chukuwa ukwaju na ujaze katika kidumu cha lita 5
2. weka maji mpaka yatakapo jaa, tia sukari kidogo kupunguza uchungu
3. subiri baada ya muda fulani hivi, ule uji uji uchanganyike na ukwaju iwe juice.
4. kunywa kama unakunywa maji ya kunywa, na tumbo lisiwe na kitu ndani yake/yaani usiwe umekula kitu chochote.
5. unaweza ukasikia maumivu lakini jikaze tuu, ndio kupona kunakuja.
6. utakuwa unabadilisha maji maana yatakuwa yanaisha katika kile kidumu,hivyo hivyo mpaka ule ukwaju umepukutisha radha yote.
7. usinywe maji ya kunywa unapo tumia, unywe ukwaju tuu,hata lita moja kwa mkupuo tena ukwaju ule mzito.
8. fanya hivyo siku zote mfululizo kama wiki hivi.
10. siku zinapo kwenda, utaanza kuona nafuu,
11. usinywe vitu vyenye asidi kari, kama soda, maembe,chungwa,nanasi, nk
12. baada ya miezi mitano ukiona hujisikiimaumivu, jaribu afya yako kwa kula maharage.
13. usiache kutumia ukwaju hata kama ni mara mojamoja!
 
Poa sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…