Kwa hiyo hii biashara ni nguvu yako na uwezo wako wa kupiga debe kama huna kipawa cha kushawishi ni shida,Biashara nyingi wateja ni watu wa chini,wenye kipato cha chini,sasa kuwauzia hawa watu dawa ya meno kwa sh.15000 sabuni ya kuogea 10000 kwa maisha ya sasa ni ngumu mno
mkuu bora ukomae na magimbi huko hukuwez
Hivi seriously nani anaweza kununua dawa ya meno kwa 15k? Uanze kumconvince mtu awe ananunua ni kazi nzito sana.
Si kila mtu lazima afanye hii biashara wengine tutakuwa watazamaji tu. Siwezi kusugua soli kila siku nimnenepeshe mwingine.
Wizi tu hakuna lingine.
aah mkuuu naona hujanisomaAcha UONGO
km ni Mkulima utapata wapi 650,000/= kila mwezi za kununua hivyo vipodozi
na wanakuambia kabisa bidhaa zao sio dawa ni virutubisho
kwanini usilime na hiyo 600,000/ ukauza nyanya bali kila mwezi upeleke fedha zetu Marekani wakatuletee mikorogo?
ww jamaa yetu kumbe unatusanifu
umeshaambiwa utalizwa na hizi biashara za nje, kwani hapo unamlangulia bepari katulia huko kwake ww na bidhaa mkononi mpaka Ruvuma.
Biashara za namna hii zipo nyingi hata ukitaka za mitandaoni km Perfect Internet lakini wanaoambulia huo utapeli ni wachache mliobaki mtalizwa tu
Fuatilia DESI na mashirika ya kiDINI kwanini hamshtuki mnawasumbua Wazazi wenu,
kila mwezi utapata wapi 600,000/ ya kununulia bidhaa wakati juice za mwanzo na dawa za miswaki (11,000.00) hujamaliza
utalizwa na urudi hapahapa JF kutusanifu tena nenda kalime Nyanya zinalipa hasa kwa mtaji wa laki 6 au anzisha mradi wowote
ilikuaje tena
uwiiiiiiiiii.......bora nifanye biashara ya magimbi kuliko 4ever Living... . ..forever ni wezi tu.......
be care with them.
cyo kila mtu anaweza kufanya hii biashara kulikuwa hakuna haja ya kumtukana ungemwambia Tu huwez nadhani angekuelewa
Ningependa tu share ujuzi juu ya hii biashara ya uuzaji wa bidhaa na kampuni tajwa apo juu, Je! kuna ukweli wowote na sio utapeli jamani???
Mwenye kitu tafadhali usisite kudondosha apo chini
Hello mimi ni active member ya hii biashara ya nimeanza miezi michache iliyo pita
Ukweli ni kwamba watu wengi hawana mtazamo sahihi kuhusu network business na humu utaona wanaongea sana bila kuwa na ujuzi wowote
But biashara hii ni nzuri na inafanyika vizuri tu as long as upo tayari kwenye kuifanya na pia uwe kwenye right team
So ndugu yangu kama upo tayari kufanya just do na kama unamashaka then usifanye na hasa ukiwa hauna team bora ya biashara
Hawa jamaa wa Forever Lining ni wezi kabisa
ukiwa Maskono hawakupendi mpaka ulipie michango yao (ya manunuzi kila mwezi)
Please help me with this. Why always the company encourages much on recruiting new members to join the network and not to sell the product? If I join today and buy the products am I allowed to sell throgh my own shop or pharmacy?
have u been there?