Acha UONGO
km ni Mkulima utapata wapi 650,000/= kila mwezi za kununua hivyo vipodozi
na wanakuambia kabisa bidhaa zao sio dawa ni virutubisho
kwanini usilime na hiyo 600,000/ ukauza nyanya bali kila mwezi upeleke fedha zetu Marekani wakatuletee mikorogo?
ww jamaa yetu kumbe unatusanifu
umeshaambiwa utalizwa na hizi biashara za nje, kwani hapo unamlangulia bepari katulia huko kwake ww na bidhaa mkononi mpaka Ruvuma.
Biashara za namna hii zipo nyingi hata ukitaka za mitandaoni km Perfect Internet lakini wanaoambulia huo utapeli ni wachache mliobaki mtalizwa tu
Fuatilia DESI na mashirika ya kiDINI kwanini hamshtuki mnawasumbua Wazazi wenu,
kila mwezi utapata wapi 600,000/ ya kununulia bidhaa wakati juice za mwanzo na dawa za miswaki (11,000.00) hujamaliza
utalizwa na urudi hapahapa JF kutusanifu tena nenda kalime Nyanya zinalipa hasa kwa mtaji wa laki 6 au anzisha mradi wowote