jamani hii biashara ya mtandao ni nzuri sana nimeanza kuifanya nilipomaliza shule mwezi 5, mpaka saiv wananiingizia si chini ya laki tano kwa mwezi kama bonus, pamoja na faida ninayoipata kwa kuuza bidhaa, nasubiria kwenda chuo na biashara yangu hii na sitegemei kuchukua mkopo wao, hapa naweza kuendesha maisha yangu vizuri, na kama upo dodoma nitafute nikupe details zaidi. Usikubari kusikiliza maneno ya watu walioshindwa maisha.
hahahaaaa chukua mzigo achana na biashara yake Avatar mok
mhhhhhhhhhhhhh mkuu......:wacko:
natamani nimfate huyo mwenye magari, kama kweli inalipa anikopeshe mtaji, nikipata faida namrudishia hela yake, nione responce yake
deci na forever living ni vitu tofauti, moja wanagawa pesa bure, nyingine unakuwa machinga wa kuuza bidhaa kwa kamisheni!
Kwa jicho la haraka haraka DECI na FL ni tofauti lakini ili kupoteza maana halisi ya Pyramid scheme ndio wameingiza bidhaa ndani yake
Inabidi kwanza kujua nini maana ya Pyramid Scheme ndio utaelewa logic nzima ya hawa jamaa...this is a win lose situation
Hao unao waona wanadai wamekua na mafanikio hawauzi tena bidhaa maana chaneli zao zimekaa vizuri wamejiunga siku nyingi, balaa liko kwako unaetoa laki saba na nusu leo
In short this people they dont sell product as you may think, the use product to get more people to join in network
Faida hawapati kwa kutegemea wewe utauza bidhaa au la, faida wanapata kwa wewe kulipa laki saba na nusu then ukishindwa kuuza tafuta wengine walete lakisaba na nusu ili kupitia wao upate gawiwo,,,,,,,,mnabaki kuletana tuuuu
Nature ya hii biashara sio uuze sana bidhaa kupata faida, nature ya hii biashara ni kuingiza watu wengi kwenye chaneli yako ili upate faida, ukimuona mtu anang'ang'ana kuuza sana ujue bado mgeni au hajaiweka chaneli yake vizuri
Mtu aliejiunga toka inaanza maana yake hata wewe leo ukijiunga kwenye chaneli yake ukitoa tu laki saba maana yake anagawio lake hapo, na ndio maana atakwambia naingiziwa milioni tatu kwa mwezi, sasa mziki utakuja kubuma pale ma senior watakapokuwa wengi kuliko ma junior
Kifupi ni laki saba na nusu ndio inatakiwa ukifanikiwa kuuza manshalaaah, tusikae hapa tunadanganyana eti bidhaa za FL zitakutoa kimaisha kwa faida ya mauzo, kwamba ununue laki saba na nanusu uuze milioni kadhaa,,,,,,,,aah wapi
Kitakachokutoa ni kuingiza watu wengi kwenye chaneli yako.......not a damn products

mkuu mbona hueleweki Mara unasifia Mara unaponda tukuelewe vp
me kotekote ila sijaona mtu aliejiunga na hii biashara akajutia kujiung, so nahisi itakuwa nzuri, tatizo mtaji
nimeangalia watu wanayo ifanya naona wamefanikiwa kweli eti..... wananunua magari seriously
Ni kampuni ya network marketing inayodili na uuzaji WA dawa za binadamu ambazo Ni nzuri Sana kiukweli hii Ina tofauti na forever living na gnld kwanza kiingilio Ni 34000 Tu na unahitaji kuunganisha watu watano Tu PIA product zao Ni bei rahis
Ni kampuni ya network marketing inayodili na uuzaji WA dawa za binadamu ambazo Ni nzuri Sana kiukweli hii Ina tofauti na forever living na gnld kwanza kiingilio Ni 34000 Tu na unahitaji kuunganisha watu watano Tu PIA product zao Ni bei rahis[/QUOT
wana sliming product mana naona hali mbaya sasa
hii biashara yao ni nzuri,ila tatizo wanasema kuna minimum sales value lazima ufikishe.Tatizo ni moja mimi kwa uelewa wangu mfupi ni hili.Bidhaa zao ni ghali sana na kwa maisha ya Mtanzania hata mwafrika wa kawaida kuweza kununua bidhaa hizi ni ngumu.So ni kubahatisha tu .Ila kwa ushauri wangu,tumia akili yako ufanye kitu kingini uache copy and paste .Fanya kilimo,fuga ,...utatoka .Kwani gari Shilling ngapi mkuu
Ni kampuni ya network marketing inayodili na uuzaji WA dawa za binadamu ambazo Ni nzuri Sana kiukweli hii Ina tofauti na forever living na gnld kwanza kiingilio Ni 34000 Tu na unahitaji kuunganisha watu watano Tu PIA product zao Ni bei rahis[/QUOT
wana sliming product mana naona hali mbaya sasa
zipo mkuu ni pm tuongee zaidi
MKUU naomba unieleweshe vizuri kuhusu hiyo bf. nawezaje kupata faida