mkuu brave 3 unaweza kupata faida km retail kwa kununua product kwa bei rahisi then kuuza kwa bei ya juu kidogo na kupata faida ila faida kubwa ipo kwa kuunganisha watu ambao kila watakaponunua product we utapata asilimia fulani km commission
jamani hii biashara ya mtandao ni nzuri sana nimeanza kuifanya nilipomaliza shule mwezi 5, mpaka saiv wananiingizia si chini ya laki tano kwa mwezi kama bonus, pamoja na faida ninayoipata kwa kuuza bidhaa, nasubiria kwenda chuo na biashara yangu hii na sitegemei kuchukua mkopo wao, hapa naweza kuendesha maisha yangu vizuri, na kama upo dodoma nitafute nikupe details zaidi. Usikubari kusikiliza maneno ya watu walioshindwa maisha.
Naona umepata platform ya kujipigia promo?jamani hii biashara ya mtandao ni nzuri sana nimeanza kuifanya nilipomaliza shule mwezi 5, mpaka saiv wananiingizia si chini ya laki tano kwa mwezi kama bonus, pamoja na faida ninayoipata kwa kuuza bidhaa, nasubiria kwenda chuo na biashara yangu hii na sitegemei kuchukua mkopo wao, hapa naweza kuendesha maisha yangu vizuri, na kama upo dodoma nitafute nikupe details zaidi. Usikubari kusikiliza maneno ya watu walioshindwa maisha.
Hiyo post nahisi niliandika wakati nshatupia vitu vyanguAcha fix