Ukwel kuhusu biashara na bidhaa za forever living

mkuu brave 3 unaweza kupata faida km retail kwa kununua product kwa bei rahisi then kuuza kwa bei ya juu kidogo na kupata faida ila faida kubwa ipo kwa kuunganisha watu ambao kila watakaponunua product we utapata asilimia fulani km commission

Bado unaifanya?
 
mmh mi hiyo biashara siielewi kabisa watu wanashawishi lakini product zao ni ghali sana ni watu wachache sana wanaweza kununua sasa inakuwaje mtu apate pesa haraka ,hapo sielewi
 
jamani hii biashara ya mtandao ni nzuri sana nimeanza kuifanya nilipomaliza shule mwezi 5, mpaka saiv wananiingizia si chini ya laki tano kwa mwezi kama bonus, pamoja na faida ninayoipata kwa kuuza bidhaa, nasubiria kwenda chuo na biashara yangu hii na sitegemei kuchukua mkopo wao, hapa naweza kuendesha maisha yangu vizuri, na kama upo dodoma nitafute nikupe details zaidi. Usikubari kusikiliza maneno ya watu walioshindwa maisha.

Acha fix
 
Achana na huu ujinga! Kuna FOREVER LIING,GNDL, ORGAN NI KUPOTEZA MUDA TU.USANII
 
jamani hii biashara ya mtandao ni nzuri sana nimeanza kuifanya nilipomaliza shule mwezi 5, mpaka saiv wananiingizia si chini ya laki tano kwa mwezi kama bonus, pamoja na faida ninayoipata kwa kuuza bidhaa, nasubiria kwenda chuo na biashara yangu hii na sitegemei kuchukua mkopo wao, hapa naweza kuendesha maisha yangu vizuri, na kama upo dodoma nitafute nikupe details zaidi. Usikubari kusikiliza maneno ya watu walioshindwa maisha.
Naona umepata platform ya kujipigia promo?
Wakutafute iweje? Wewe toa tu ushauri kisha wao watajua cha kufanya.

Ukianza kujipigia promo maoni yako yanakuwa sio huru na yanaegemea upande mmoja.

Ukitaka peleka tangazo jukwaa linalohusika na matangazo ya biashara.
 
Hiyo post nahisi niliandika wakati nshatupia vitu vyangu
847ccd57e12dcb93e7e473e8d64195a0.jpg
 
Naona umepata platform ya kujipigia promo?
Wakutafute iweje? Wewe toa tu ushauri kisha wao watajua cha kufanya.

Ukianza kujipigia promo maoni yako yanakuwa sio huru na yanaegemea upande mmoja.

Ukitaka peleka tangazo jukwaa linalohusika na matangazo ya biashara.
Cc youngkato
 
Back
Top Bottom