Ukweli ambao wafanyabiashara hawatakaa wakwambie

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Asilimia kubwa ya watu wamefanikiwa kupitia biashara, ni asilimia chache sana wana mafanikio kupitia ajira lakini wengi wenye majumba mazuri, magari na mali nyingine wamezipata kupitia biashara.

Siku zote elewa kwamba hakuna mfanyabiashara ambae atataka akwambie mafanikio yake na hata faida anayoipata katika biashara yake au aina ya wateja wake, wengi huwa na maneno ya kuonesha ugumu waliopitia lakini hawaoneshi njia aliyopitia hadi kupata mafanikio yake kibiashara na mara nyingi ukiwauliza kuhusu biashara husika hukimbilia kusema hailipi.

Kwa yule unaeanza usitegemee kwamba utaenda kumuuliza mfanyabiashara mbinu akakwambia za ukweli zaidi atakupa mbinu ngumu na changamoto kubwa ili umuone jinsi alivyo mpambanaji.

Hivyo basi unapotaka kuanzisha vibiashara inakubidi utenge muda na fedha za kutosha kufanya utafiti, tafiti kuhusu masoko ya bidhaa zako na nini hasa cha kuboresha katika bidhaa zako. Vile vile tafiti kuhusu sehemu ya kununua bidhaa, upatikanaji wake na urahisi wa usafiri.

Baada ya hapo anza kutafuta wateja wa kuuzia mzigo wako na mara nyingi hapa inakubidi ujenge kwanza uaminifu na jina ili uweze kushindana na wakongwe na mara nyingi unapoanza biashara yako hutakiwi kutengeneza faida kubwa bali wateja wengi, mfano kipindi wengine wanapata faida 10,000/= wewe unaweza kutengeneza faida ya 7,500/=kwa kushusha bei tofauti na wale uliowakuta , baada ya hapo unaweza kuanza biashara yako.

Siku zote usitegemee mawazo ya wanaofanya biashara husika pasipo kufanya utafiti wako mwenyewe, wengine hushauri ndivyo sivyo hali ambayo hupelekea kupata hasara.
 
Huo utafiti utaufanyeje bira kuuliza watu hao hao mkuu
 
Hao ambao hawasemi watakua wauza ngada na hela za manyokanyoka.... Hawawezi kukwambia kama unauliza kizembezembe ila kama unania ya kujifunza wanafunguka tu ingawa vingine lazma ujiongeze
 
Huo ndio Ukweli ingawa wengi watapinga,Nature ya binadamu tumeumbwa na "Ubinafsi" ,Selfishness,Umimi.
-Hakuna mfanyabiashara atakayekwambia ukweli kuhusu uzuri wa biashara yake,ukiona anakushirikisha basi kashaona fursa kwako ambayo itamfavor yeye zaidi,either kaona una "MPUNGA" anakuja na idea ya Kushare Capitol in other hand anaenda kuongea na watu wake wa huko anaochukua mzigo mnanunua kwa bei ya juu(Kumbe kawaambia aweke cha juu,kisha anachukua yeye) kisha mkienda sokoni unashangaa mnapata faida ndogo wakati alikuwa anakushawishi kwa maneno matamu bizness inalipa or Anataka umsaidie kama mfanyakzai yeye amebanwa na shughuli nyingi so atakushirikisha umsaidie kupeleka baadhi ya mambo minor ila sio yale Major(kiini) cha biashara yake.

Ndio maana unaweza ukaona Mtu Katengeneza Kitabu cha jinsi ya kupata fedha halafu mtu huyohuyo(mwandishi wa kitabu) anaenda kuomba fedha kwa mtu mwingine akakiprint kitabu chake....Ukiona mtu anakushawishi ufanye kitu kwamba kinalipa hapo stuka unapigwa.
 
Wajanja wana watumiaga ma spy
 
Acha uongo ww!! Nyie mnaojiFanyaga kutoa ushaur kuhusu biashara huwa mara nyingi hamjui lolote kuhusu biashara, kama roho mbaya unayo ww acha kuwachafua wafanyabiashara!!!
Uongo wake uko wapi? Haya, hebu tupatie mbinu ulizofanya ukawa "tajiri "!
 


Wamepitia magumu,wewe ni nani ukatae eti hawajapitia?

U are nobody to em ujifanye unawasemea..yeye ndie muhusika,anachokisema about his own experiences iwe kweli au uwongo huna jinsi,lazima ukubali au u-prove beyond doubt ni otherwise!

Kitu kingine,unalalamika nini!?Nani kakutuma ukawaulize kuhusu biashara?It shows u cant stand by yourself as a confident starting businessman...mapungufu yako ya kutokujua biashara unayahamishia kwa wengine na kuwalalamikia,it shows u are not cut for business at all!
 
Typical tanzanian, selfish creatures in form of human being.

Wewe kutokujua biashara ni pungufu lako...hakuna mtu duniani ni liable na mapungufu yako...

Hujui kitu unawalalamikia wengine kwa kutokujua kwako!Thats hilarious!

Watu kama nyie ndio hua nawachukia mno...hamjui mnachokifanya,mnaona short cut ni kumfata aliefanikiwa biashara na kuanza kumuuliza maswali as if anawajibika kwenu about anything.

Hamjui kilicholeta,mnaishia kuona biashara za watu nzuri mnaishia kuwatafutatafuta kwenye simu na maswali ya kishoga...do yourself stupid,who are to blame others on your own shortcomings?

Fvck off...go and learn something and do everything yourself and stop complaining!
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Uongo wake uko wapi? Haya, hebu tupatie mbinu ulizofanya ukawa "tajiri "!

Majitu kama nyie ndio failures kila siku...acha biashara kafanye kazi

Biashara haikufai...eti tupe mbinu ya ulichofanya ukawa tajiri...swali ni very very stupid...amekua tajiri,yes,inabidi ageuke answerable to u just because ameweza kua tajiri?

Na ulichokiona kwake ni "tajiri",nothing else?Mnaendeshwa na fantasy nyie,wala sio wafanya biashara to the heart!...mnaongozwa na mihemko kwa kuona yeye ni tajiri kupita maelezo then all of sudden mnaanza kumfatafata kumuuliza how he did it...who the fvck are you people?

Fanyeni biashara and stop complaining...mapungufu yenu msiyahamishie kwa wengine waliofanikiwa...hawajibiki kukusaidia au kukuambia anything..infact he/she is your competitor na anawajibika kuku-eliminate...thats his/her job...tutoleeni your sentimental sh*it...Business is war,it is competition,no one in this earth is required to help a competitor in any case whatsoever
 
Nahisi huu uzi haukuhusu wewe, niliwaandikia vijana ambao wanataka kuanzisha biashara wakiwemo wale wanaoandika nyuzi humu kuulizia aina fulani ya biashara, lakini pia ukumbuke hakuna mtu anaezaliwa anajua kila kitu tumajifunza kutoka kwa wengine ndio maana kuna shule.
 
Unaonekana sio mstaarabu hata kidogo, kinachokufanya upaniki ni nini? Ina maana huu uzi unakuhusu wewe mpaka ushindwe kujibu kiistarabu, matusi ni kuonesha namna gani ulivyo mpumbavu.
 


Mkuu heshima sana kwako

Uchambuzi wako ni wa kweli hasa

Ila naomba kujazia kitu hapo,ila mimi ninawatetea wafanyabiashara kwa hili:

Kuna tendency ya starters au wanaotarajia kufanya biashara kua na maswali ya kishoga sana kwa wafanyabiashara...wasipojibiwa au wakijibiwa wanaishia kulalamika wananyimwa elimu...Ndio nashangaa,yeye kutokua na hiyo elimu anahamishia malalamiko yake kwa wengine!?How?

Watu wamekuja hapa duniani kukuelezea wewe wanachofanya,who are you really?Are you some kind of a special boss the earth revolve around you?

Do whatever you can to know everything you want and stop complaining...And it is really wrong and stupid to go and ask your competitor eti kwa ushauri au information...really wrong!

Business is competition,it is a real war...leo ujifanye unanifatafata kuniuliza maswali yakipumbavu namna hiyo wakati kazi yangu mimi ni kuhakikisha na eliminate my competitors,how on earth can I buddy up witchu?How?

Hivi mnajua how bad and lethal competition is?Hivi mnaelewa athari za competition kweli au mnaongea tu?
 
Wewe utakuwa wa simba sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…