nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Nasema hivi kuanzia saa moja usiku TV stations mbalimbali hurusha taarifa zao za habari na naomba muangalia vizuri sana tena kwa makini.
- Wapo watakaotangaza habari ya kupigwa pini mipaka ya Kenya kwa huzuni sana
- wapo watakaotangaza wakijifanya wana huzuni lakini facial expressions zao zinataka kucheka.
- Wako ambao wataonyesha waziwazi furaha zao.
- wapo ambao watachukulia tu poa business as usual
Wale watakaoonyesha furaha naomba TCRA ifungie hivyo vituo haraka sana kwani inajulikana sasa hivi kama nchi tuko katika vita na mabeberu ambayo kwa jinsi yanavyotuogopa na kutuonea wivu yanatumia mbinu mbalimbali kutuharibia.
Ieleweke kwamba katika mamlaka zilizowekwa na Mungu duniani basi Tanzania ipo katika top three we fikiria kuna nchi zilikataa hata kusali kwa God juu ya Corona sisi tumetenga siku tatu na imesaidia kwani hadi sasa wamekufa watu 16 tu kwa corona ambayo kimiujiza ya Mungu ni kama imeshatoweka.
Ni katika utawala huu tumeshuhudia vijana wenye maadili na utiifu kwa Mungu kama Makonda,lensabaya the power (eagle 3) mnyeti, Gambo, Jerry Muro,Chalamila,wote hao ni mfano hai wa jinsi utawala huu chini ya Rais mpendwa John Pombe Joseph Magufuli ulivyo na kibali mbele ya Mungu.
Narudia tena tuko vitani ni vita kali ya kiuchumi kati yetu na mbeberu na hii ni baada ya kuona tumenunua ndege cash tunajenga maflyovers tumeboresha huduma za afya, tunatoa elimu bure na vilevile tumeimarisha sana mshikamano wa kitaifa,yote haya ukichangia na kukata mirija ya upigaji kwenye migodi inasababisha mabeberu yamekuwa na chuki kali sana.
Na leo kwenye taarifa ya habari utaona jinsi mawakala wa mabeberu watakavyofurahia amri ya Rais kenyata ambaye naye bila shaka anatumika na mabeberu kwenye vita hii ngumu kabisa ya kiuchumi.