Ukweli hadharani: bado dakika chache tugundue vibaraka wa mabeberu kwenye TV stations

Ukweli hadharani: bado dakika chache tugundue vibaraka wa mabeberu kwenye TV stations

Tutaongea nao nini kamanda?
Huyo mwingine ametumia haki yake kufunga mpaka,tutaongea nae nini kwa mfano,mwache afunge,sie tunamwaga nyanya na vitunguu getini,mpaka zikifika nairobi zimekua masalo
Ategemee bidhaa kupanda sana bei sababu ya transhipment costs,ha hiyo dola milioni 700 aliokopa italiwa tu na wapigaji
Haya maneno yote yanayokutoka ni matunda ya kutokuweka uwakilishi wa nchi yetu kwenye kikao cha EAC kilichofanyika juzi kwa njia ya mtandao.
 
Haya maneno yote yanayokutoka ni matunda ya kutokuweka uwakilishi wa nchi yetu kwenye kikao cha EAC kilichofanyika juzi kwa njia ya mtandao.
Tuweke muwakili wa nini wakati kila kitu walishaamua huko nyuma
Rwanda wamerudi tena kistaarabu tumeshakubaliana
Sasa tunasubiri middle income country,watakuja tu
 
Tuweke muwakili wa nini wakati kila kitu walishaamua huko nyuma
Rwanda wamerudi tena kistaarabu tumeshakubaliana
Sasa tunasubiri middle income country,watakuja tu
Sasa kwa nini mlihangaika kuwatafuta? Si mlifanya jeuri? Yani nyie ni wepesi mno halafu kwa nini msitumie akiri? Mlikataa kwenda kwenye kikao wamekaa wakaaamua mmehangaika tena kuwaomba mkae pamoja khaaa tumieni akiri jamani mnamaanika mwisho watawashtukia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema hivi kuanzia saa moja usiku tv stations mbalimbali hurusha taarifa zao za habari na naomba muangalia vizuri sana tena kwa makini....
*Wapo watakaotangaza habari ya kupigwa pini mipaka ya kenya kwa huzuni sana
*wapo watakaotangaza wakijifanya wana huzuni lakini facial expressions zao zinataka kucheka
*Wako ambao wataonyesha waziwazi furaha zao
*wapo ambao watachukulia tu poa business as usual
Wale watakaoonyesha furaha naomba TCRA ifungie hivyo vituo haraka sana kwani inajulikana sasa hivi kama nchi tuko katika vita na mabeberu ambayo kwa jinsi yanavyotuogopa na kutuonea wivu yanatumia mbinu mbalimbali kutuharibia
Ieleweke kwamba katika mamlaka zilizowekwa na Mungu duniani basi Tanzania ipo katika top three we fikiria kuna nchi zilikataa hata kusali kwa God juu ya Corona sisi tumetenga siku tatu na imesaidia kwani hadi sasa wamekufa watu 16 tu kwa corona ambayo kimiujiza ya Mungu ni kama imeshatoweka
Ni katika utawala huu tumeshuhudia vijana wenye maadili na utiifu kwa Mungu kama Makonda,lensabaya the power (eagle 3)mnyeti,Gambo,Jerry Muro,Chalamila,wote hao ni mfano hai wa jinsi utawala huu chini ya Rais mpendwa John Pombe Joseph Magufuli ulivyo na kibali mbele ya Mungu
Narudia tena tuko vitani ni vita kali ya kiuchumi kati yetu na mbeberu na hii ni baada ya kuona tumenunua ndege cash tunajenga maflyovers tumeboresha huduma za afya,tunatoa elimu bure na vilevile tumeimarisha sana mshikamano wa kitaifa,yote haya ukichangia na kukata mirija ya upigaji kwenye migodi inasababisha mabeberu yamekuwa na chuki kali sana
Na leo kwenye taarifa ya habari utaona jinsi mawakala wa mabeberu watakavyofurahia amri ya Rais kenyata ambaye naye bila shaka anatumika na mabeberu kwenye vita hii ngumu kabisa ya kiuchumi
Mwandiko haueleweki kabisa
 
What if the enemy you fear is inside ur own mind??!.

Tuachane na mambo ya mabeberu kwangu mimi siamini habari za mabeberu cz ni nadharia tu km zingine,tupige kazi kama tumeamua kupiga,maneno maneno hayalet maendeleo.
Km wamefunga tuwaache wafunge,nchi ni yao na maamuzi ni yao na ni sahihi kwa mustakabari wa nchi yao.

Sisi km nchi to focus na mambo yetu,tubuni mbinu za kukuza uchumi bila kuwategemea waliofunga mipaka.Porojo hazina tija wakati kila mtu anaangalia upande wake kama sisi tunavyoangalia upande wetu(kukuza uchumi) na majirani wao wanalinda raia wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwa nini mnawaita wazungu mabeberu utafikiri nyie ni mambuzi Jike
 
Back
Top Bottom