Ukweli hadharani: bado dakika chache tugundue vibaraka wa mabeberu kwenye TV stations

Haya maneno yote yanayokutoka ni matunda ya kutokuweka uwakilishi wa nchi yetu kwenye kikao cha EAC kilichofanyika juzi kwa njia ya mtandao.
 
Haya maneno yote yanayokutoka ni matunda ya kutokuweka uwakilishi wa nchi yetu kwenye kikao cha EAC kilichofanyika juzi kwa njia ya mtandao.
Tuweke muwakili wa nini wakati kila kitu walishaamua huko nyuma
Rwanda wamerudi tena kistaarabu tumeshakubaliana
Sasa tunasubiri middle income country,watakuja tu
 
Tuweke muwakili wa nini wakati kila kitu walishaamua huko nyuma
Rwanda wamerudi tena kistaarabu tumeshakubaliana
Sasa tunasubiri middle income country,watakuja tu
Sasa kwa nini mlihangaika kuwatafuta? Si mlifanya jeuri? Yani nyie ni wepesi mno halafu kwa nini msitumie akiri? Mlikataa kwenda kwenye kikao wamekaa wakaaamua mmehangaika tena kuwaomba mkae pamoja khaaa tumieni akiri jamani mnamaanika mwisho watawashtukia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwandiko haueleweki kabisa
 
What if the enemy you fear is inside ur own mind??!.

Tuachane na mambo ya mabeberu kwangu mimi siamini habari za mabeberu cz ni nadharia tu km zingine,tupige kazi kama tumeamua kupiga,maneno maneno hayalet maendeleo.
Km wamefunga tuwaache wafunge,nchi ni yao na maamuzi ni yao na ni sahihi kwa mustakabari wa nchi yao.

Sisi km nchi to focus na mambo yetu,tubuni mbinu za kukuza uchumi bila kuwategemea waliofunga mipaka.Porojo hazina tija wakati kila mtu anaangalia upande wake kama sisi tunavyoangalia upande wetu(kukuza uchumi) na majirani wao wanalinda raia wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwa nini mnawaita wazungu mabeberu utafikiri nyie ni mambuzi Jike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…