Emmanuel nemes
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 892
- 654
- Thread starter
- #21
Madhara yapo psychological, ingawa kama ikiwa too much sana yawezapelekea madhara kiasi flan biological,Ukipga punyero ina madhara ya nguvu za kiume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madhara yapo psychological, ingawa kama ikiwa too much sana yawezapelekea madhara kiasi flan biological,Ukipga punyero ina madhara ya nguvu za kiume?
We jamaa umekimbilia wapi na hiyo HYPOTHALAMUS yako?Hivi karibuni limeibuka wimbi la watu wanaojiita wataalamu wanaotibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, na pia yameibuka madawa kadha wa kadha ambapo vijana wengi wameishia kutapeliwa.
kiujumla nguvu za kiume its all about your brain, yaani mfumo mzima wa akili kwa ujumla, cha muhim kama ww unasimamisha na unaejaculate basi kwa namna yoyote ile huwezi kujiita kuwa unaupungufu wa nguvu bali una psychology or HYPOTHALAMUS problem. Nitarudi tena kuelezea kwa kina mechanism ya kudeal nayo.
Nawasilisha.
Hata mm nasubiria somo kakaLinakuja wakuu musijali, kuna majukumu kdg nayaweka sawa nitakuja fully msijali, wanaoponda na kuniona msanii kama hyo rafiki yangu hapo juu msijali, muhim tuelimishane, ni vyema pia kushare what you hve kuliko ku criticize.