The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Ukiwasikiliza uzuri genge la CCM utagundua kuwa wamechanganyikiwa kiasi cha kujichanganya na kuchanganyana wakidhani watatuchanganya.
Eti wanaoionya CNN kwa kufanya kazi yake uzuri. Wamechanganyikiwa na kusahau kuwa CNN sIyo shirika la kitapeli kama mengi tuilyo nayo nchini yakifanya kazi ya kusafisha uchafu wa watawala wakatili na wapumbavu.
Mnajiita serikali. Nani aliwachagua? Ukweli utabaki kuwa ukweli. Utaudhi na kuuma kama kawaida yake. Mkubali yaishe.
CCM mliua watu wetu wasio na hatia kwa sababu ya uroho wa madaraka wa wenye wa madaraka na kujilimbikizia mali ambazo mnaogopa mkiachia madaraka zitataifishwa, maovu yenu kujulikana, na wengi wenu kufia magerezani.