Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale hawakudanganywa , ni nguvu Za dola zinatumiwa kulazimisha uvamizi, wanaodanganyika ni Watanganyika si WazanzibariMkuu, muungano wetu ni kiinimacho tu usiumize sana kichwa...watawala wanadhani watz wa leo ni sawa na wale wa miaka 20 kurudi nyuma kwamba kuwadanganya bado ni jambo rahisi sana.
Wananchi wengi kwasasa wanaweza kuhoji tena kwa facts!.
Swali jepesi, kwann Shaka ni mkuu wa wilaya huku Tanganyika (bara) lakini hakuna Mtanganyika (m-bara) anaweza kuwa na cheo kama hicho hicho kwa kule Zenji??.