Ukweli juu ya James Bond

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,385
Reaction score
1,414
Habari za ckukuu wakuu. Kwa muda mrefu nimekuwa mpenzi wa filamu za mpelelezi wa kiingereza James Bond. Kitu nachijiuliza kila cku ni je huyu jamaa alikuwa kweli ni agent wa #m16 au ni story tu ya kusadikika ambayo watu wameamua kukaa chini na kuandika ili kuburudisha ulimwengu pamoja na kutengeneza hela.
Naomba kujuzwa juu ya hili.
 
I wish unge 'm-google' kwanza ungepata nusu ya taarifa..
 

ni kama Willy Gamba....fiction created by Ian Fleming
 
it just a fiction story as Utingo said but zetu zile hatuna watu wa kufanya movies zinaishia vitabuni tu... i wish somebody angetengeneza movie.......ila arggrr wataharibu tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…