haya mambo ya kwenda mwezini hayataki kutumia akili ya kawaida maana katika akili ya kawaida mimi mwenyewe siwezi kuamini chuma kimesafiri miaka mitano na ni umbali wa kilometa bilioni mbili nukta nane......kwa akili ya kawaida hii itakuwa ni sound
unauliza unataka kujua au unamajibu yako unataka kuhakikisha..... sasa huyo JUNO kwa saa moja kinaamsha kilometa 618... kama uko fresh kimahesabu kalkulet lisaa limoja mara miaka mitano.....una uhakika umbari wake hadi kufika huko ni kilomita bilioni mbili nukta 8
Tegeneza=tengenezaTegeneza nawewe tuone kama itaruka,angalau huyo jamaa kajitahid imefanana na helkopta
Usichukulie poa 2.8bilion km hata kidogo.. Na ukienda kwa mahesabu hayo basi umebugi..unauliza unataka kujua au unamajibu yako unataka kuhakikisha..... sasa huyo JUNO kwa saa moja kinaamsha kilometa 618... kama uko fresh kimahesabu kalkulet lisaa limoja mara miaka mitano.....
kaka tuelekezane kwani hizi 8.8bilion kasema nani?Usichukulie poa 8.8bilion km hata kidogo.. Na ukienda kwa mahesabu hayo basi umebugi..
Soma articles kuthibitisha hesabu zako...
Soma link hapo chini utapata ufafanuz
How Far is Jupiter from Earth - Universe Today
Nop it was supposed to be 2.8bn typing error...kaka tuelekezane kwani hizi 8.8bilion kasema nani?
Tumetengeneza Chopper huko Tunduma inayozungusha bangaboi lake tu ila hairuki.
labda hakuna dilikwa nini baada ya apolo hakijaenda chombo kingine?
sio kweli...wanatudanganyalabda hakuna dili
wanatudanganya nini..?sio kweli...wanatudanganya
Ha haNa bora wasiende kabisa huko kwa mwezi hiyo ni kujifanya kimbelembele kwa mwenyezi Mungu
hakuna mtu alienda mwezini-Moon...labda kina dada kila mwezi huwa wanaendawanatudanganya nini..?
HUU ni uongo uliopitiliza, mwezi ni moja sehemu imetembelewa na vyombo vingi vya nchi tofautofauti na USSR ndo walikuwa wa kwanza kurusha satellite mwezini na hilo joto la mwezini halina uwezo wa kuyeyusha chombo chochote, japokuwa mwezi hauna atmosphere na ndo maana joto likiongezeka linaongezeka kwa haraka na kufikia 100°c.Mrusi kajaribu kwenda mwenzin kashindwa anasema kabla kufikia kwenye mwenzi kuna joto Kali sana ambalo linayeyusha kitu chochote
Mwezi hautoi mwanga wake mwenyewe Bali unaakisi mwanga wake kutoka kwenye jua.kile kumbuka kuwa mwenz unatoa mwanga. Mpaka Leo mmerecan ajaenda tena kwenye mwenz imebaki history katika vitabu,
Mrusi kasema lini hiyo statement?, tunaomba utuwekee vyanzo vya kuaminika kuhusu hilo.Mrusi kamwambia mmerecan kadanganya dunia.
Mbona hueleweki, swala la kuwepo ama kutokuwepo vivuli linahusiana vipi kwa USA kifika ama kutokufika mwezini. Mkuu hebu iweke video hapa tuione.Miongon mwa hoja hata Mimi nimekubali ukiangalia picture yao wanayo dai wako mwenzini vitu vyote vina vivuli isipokuwa bendera yao, kwa nini bendera isiwe na kivuli.
ha ha...hakuna mtu alienda mwezini-Moon...labda kina dada kila mwezi huwa wanaenda
HUU ni uongo uliopitiliza, mwezi ni moja sehemu imetembelewa na vyombo vingi vya nchi tofautofauti na USSR ndo walikuwa wa kwanza kurusha satellite mwezini na hilo joto la mwezini halina uwezo wa kuyeyusha chombo chochote, japokuwa mwezi hauna atmosphere na ndo maana joto likiongezeka linaongezeka kwa haraka na kufikia 100°c.
Mwezi hautoi mwanga wake mwenyewe Bali unaakisi mwanga wake kutoka kwenye jua.
Mrusi kasema lini hiyo statement?, tunaomba utuwekee vyanzo vya kuaminika kuhusu hilo.
Mbona hueleweki, swala la kuwepo ama kutokuwepo vivuli linahusiana vipi kwa USA kifika ama kutokufika mwezini. Mkuu hebu iweke video hapa tuione.