Ukweli katika mahusiano

Hahaha...hata kwenye movie hua wanapika bana.Nadhani tuseme ni ULIMBUKENI.

Kuna nyingine bana hasa hizi soap maisha ya kukaa beach whole day watu wanakula burger na sambusa na mikate plus juice yaani ndo maisha watu wanatala hakuna kuchafua kucha au kuwa na harufu sijui ya moshi wala mafuta na vitunguu
Mpeleke kijijini kwenu sasa tena kula hakuna umeme wala mkaa ni kuni za kuchochea uone mambo yake
 
Kweli lakini...neway tatizo bado ni ULIMBUKENI maana hata wanaoact vile hawaishi vile.Umenikumbusha mke wa uncle wangu nae alikua na maringo akija nyumbani anadai hawezi kupika kwa kutumia kuni...ila baada ya kuona wenzake wote hawaleti mapozz ikabidi nae azoee maana kua an outcast nayo ni noma.
 

Real ni ujinga kwani unafikiri hao wanaosema hawawezi walizaliwa wapi maana hata kama ulizaliwa mjini for sometime mama yako alitumia mkaa kupika na hata kupasi then umepata kielimu kidogo unasema huwezi kupikia mkaa tena
 
Real ni ujinga kwani unafikiri hao wanaosema hawawezi walizaliwa wapi maana hata kama ulizaliwa mjini for sometime mama yako alitumia mkaa kupika na hata kupasi then umepata kielimu kidogo unasema huwezi kupikia mkaa tena
Hapo sasa...alafu mtu kama huyo hata ukimuuliza kwanini haswa anadai hawezi au hataki hatokua na sababu yoyote ya maana.
 
Hapo sasa...alafu mtu kama huyo hata ukimuuliza kwanini haswa anadai hawezi au hataki hatokua na sababu yoyote ya maana.

Hana na kumbuka Lizzy kwamba wote tuna maisha yanayoendelea na kuna mabadiliko ndani ya familia. Imagine umeolewa na mtu ana kila kitu ghafla mambo yamebadilika na kila ulichokuwa nacho kinapotea will you be down to earth kuanza kupikia mkaa uliokuwa unasema ni uchafu
 
We bwana...aanze kupikia mkaa wakati huo ndo mwanya wa mwanaume kuachwa solemba?!
 
Ndugu yangu unataka mume akikosa asiambiwe anafanya vitu out of point na kuicost familia dearly bado tu abembelezwe wakati anastahili bakora!Uongozi katika familia haupigiwi kura bali mtu huupata kwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo kama kuhakikisha kuna chakula cha kutosha na cha kufaa,malazi bora ,elimu bora,usalama na afya ,amani na utulivu ,uadilifu na mapenzi na mengineyo
Sasa baba ambaye hajijui anapotoka wala anapokwenda unataka awe kiongozi ,hatumwambii kuwa yy si kiongozi ila atakosa wa kumuongoza kwani atakaeipatia familia vyote hivyo ndiye atakaekuwa mbadala wake.Hakuna kuremba hapa
Mkiwa wote ni waelewa mtashirikiana vizuri bila malumbano na kampeni za kugombania uongozi

ndugu yangu katika ndoa nyingi zenye malumbano ni msomi vs msomi
 
Kwahiyo bora sie tuliokimbia manyunyu shule.
 
Kiburi ni tabia ya mtu tu. Tena bora alie soma akufanyie kiburi, ataweza kujieleza. Imagine yule hajasoma alafu awe na kiburi, inakua ni ujinga mtupu.
 
Kiburi ni tabia ya mtu tu. Tena bora alie soma akufanyie kiburi, ataweza kujieleza. Imagine yule hajasoma alafu awe na kiburi, inakua ni ujinga mtupu.
Sio kila aliyesoma anaweza kujieleza na sio kila ambae hajasoma hawezi.
 


umesema kweli lizzy - watu wanachanganya elimu ya darasani na elimu ya maisha - kama mwanamke ana elimu ya maisha hata kama hana ya darasni - lazima atamwongoza mwanaume mwenye elimu ya darasani ila hana elimu ya maisha
kuna tofauti kubwa..........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…