Hahaha...hata kwenye movie hua wanapika bana.Nadhani tuseme ni ULIMBUKENI.
Kuna nyingine bana hasa hizi soap maisha ya kukaa beach whole day watu wanakula burger na sambusa na mikate plus juice yaani ndo maisha watu wanatala hakuna kuchafua kucha au kuwa na harufu sijui ya moshi wala mafuta na vitunguu
Mpeleke kijijini kwenu sasa tena kula hakuna umeme wala mkaa ni kuni za kuchochea uone mambo yake