Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Nilibahatika kuhudhuria katika mjadala mmoja siku ya leo kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa vijana na katika mjadaka huo alikuwepo mtu mmoja ambae alijinadi kuwa ni doctor na katika mazungumzo yake alisema haya yafuatayo:
*iwapo mtu mwenye maambukizi ya ukimwi ataameza ARV muda mfupi kabla ya kupima,basi virusi havitoonekana katika vipimo kwa wakati huo.
*iwapo mtu atafanya mapenzi na mwenye maambukizi ya ukimwi ambae anatumia dawa,na akawa amemeza dawa hiyo ndani ya muda mfupi kabla ya tendo la ndoa,basi uwezekano wa asie na maambukizi kupata maambukizi huwa ni mdogo sana kwa sababu ARV inacover sehemu kubwa ya kuzuia maambukizi hayo.
je panaukweli wowote hapo ?
hayo yalikuwa nia katika mazungumzo ya kawaida sana ya kukumbusha kuhusu gonjwa hili la ukimwi.