Ukweli kuhusu ARV.

Ukweli kuhusu ARV.

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Chicken.jpg

AidsARV.jpg

Nilibahatika kuhudhuria katika mjadala mmoja siku ya leo kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa vijana na katika mjadaka huo alikuwepo mtu mmoja ambae alijinadi kuwa ni doctor na katika mazungumzo yake alisema haya yafuatayo:
*iwapo mtu mwenye maambukizi ya ukimwi ataameza ARV muda mfupi kabla ya kupima,basi virusi havitoonekana katika vipimo kwa wakati huo.
*iwapo mtu atafanya mapenzi na mwenye maambukizi ya ukimwi ambae anatumia dawa,na akawa amemeza dawa hiyo ndani ya muda mfupi kabla ya tendo la ndoa,basi uwezekano wa asie na maambukizi kupata maambukizi huwa ni mdogo sana kwa sababu ARV inacover sehemu kubwa ya kuzuia maambukizi hayo.

je panaukweli wowote hapo ?
hayo yalikuwa nia katika mazungumzo ya kawaida sana ya kukumbusha kuhusu gonjwa hili la ukimwi.
 
UKIMWI si ugonjwa kwa hiyo hakuna tiba. ARV hutumika ati kufisha nguvu za HIV, kirusi kinachodaiwa kuua kinga ya mwili, lakini kuna utata wa kisayansi kwamba ARV ni mojawapo ya sababu za kuua kinga ya mwili.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Chicken.jpg

AidsARV.jpg

Nilibahatika kuhudhuria katika mjadala mmoja siku ya leo kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa vijana na katika mjadaka huo alikuwepo mtu mmoja ambae alijinadi kuwa ni doctor na katika mazungumzo yake alisema haya yafuatayo:
*iwapo mtu mwenye maambukizi ya ukimwi ataameza ARV muda mfupi kabla ya kupima,basi virusi havitoonekana katika vipimo kwa wakati huo.
*iwapo mtu atafanya mapenzi na mwenye maambukizi ya ukimwi ambae anatumia dawa,na akawa amemeza dawa hiyo ndani ya muda mfupi kabla ya tendo la ndoa,basi uwezekano wa asie na maambukizi kupata maambukizi huwa ni mdogo sana kwa sababu ARV inacover sehemu kubwa ya kuzuia maambukizi hayo.

je panaukweli wowote hapo ?
hayo yalikuwa nia katika mazungumzo ya kawaida sana ya kukumbusha kuhusu gonjwa hili la ukimwi.

Ngoja tusubiri walioanza ' Kulikung'uta ' Solo Gitaa la Dally Kimoko watatuambia vizuri.
 
Nikwel ARV zinapunguza viral loaf ( kiwango cha virusi kutengeneza kopi katik kila milimita ya damu).

Sasa viral load ikiwa ndogo inamaana yakua kuna uwezekano mkubwa wa mtu anayetumia ARV kutest negative kama utampima kwa hizi vipimo vya HIV rapid test.

Nikweli kabisa ndugu ,, Mtu anayetumia dozi ya ARV sio rahisi kumuambikiza mwenzake ikiwa tu nangono ilikua ile yenye usalama yaan no michubuko.

Bila shaka nmekujibu maswli yako.
 
Kuna watu wanadai hakuna Ukimwi sijui kama kuna ukweli kuhusu hili
Anayedai hivyo si mkweli. UKWIMI kama jina lake ni tatizo la kinga hasilia ya mwili. Kilicho na utata, kisayansi, ni kitu gani kinasababisha kinga ya mwili kudhohofika. Wapo wanaodai ni kirusi cha HIV (VVU). Wapo wanaodai HIV hakijagunduliwa kwa sababu hiyo kinga ya mwili hudhoofishwa na mradhi mbalimbali ikiwemo lishe duni, matumizi mabaya ya dawa za kutibu maradhi na madawa za kulevya.
 
Back
Top Bottom