Ukweli kuhusu ARV.

Ukweli kuhusu ARV.

Chicken.jpg





AidsARV.jpg











Nilibahatika kuhudhuria katika mjadala mmoja siku ya leo kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa vijana na katika mjadaka huo alikuwepo mtu mmoja ambae alijinadi kuwa ni doctor na katika mazungumzo yake alisema haya yafuatayo:
*iwapo mtu mwenye maambukizi ya ukimwi ataameza ARV muda mfupi kabla ya kupima,basi virusi havitoonekana katika vipimo kwa wakati huo.
*iwapo mtu atafanya mapenzi na mwenye maambukizi ya ukimwi ambae anatumia dawa,na akawa amemeza dawa hiyo ndani ya muda mfupi kabla ya tendo la ndoa,basi uwezekano wa asie na maambukizi kupata maambukizi huwa ni mdogo sana kwa sababu ARV inacover sehemu kubwa ya kuzuia maambukizi hayo.

je panaukweli wowote hapo ?
hayo yalikuwa nia katika mazungumzo ya kawaida sana ya kukumbusha kuhusu gonjwa hili la ukimwi.
Madhara ya kutumia madawa ya ARV kwa wagonjwa wa UKIMWI





chanzo.Madhara ya kutumia madawa ya ARV kwa wagonjwa wa UKIMWI - JamiiForums
 
Kuku hao vipi, tunapata elimu gani kuhusu kuku na ukimwi au ARV?
 
UKIMWI si ugonjwa kwa hiyo hakuna tiba. ARV hutumika ati kufisha nguvu za HIV, kirusi kinachodaiwa kuua kinga ya mwili, lakini kuna utata wa kisayansi kwamba ARV ni mojawapo ya sababu za kuua kinga ya mwili.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
mkuu ?
kweli arv huchangia kuua kinga ya mwili ?
siyo kweli,siyo kweli kabisa.
ARV ni mkombozi wa muda kwa wale wote waliyopata maambukizi ya aids kabla dawa kupatikana
 
mkuu ?
kweli arv huchangia kuua kinga ya mwili ?
siyo kweli,siyo kweli kabisa.
ARV ni mkombozi wa muda kwa wale wote waliyopata maambukizi ya aids kabla dawa kupatikana
Madhara ya ARV ni nini, au watengenezaji hawasemi kwa sababu za kibiashara kuliko tiba!
 
Dizain kama kuna mtu kapita sehemu siyo then anasikilizia...
 
Una ambiwa Hiv kma wenye sio ugonjwa bali n kirusi kinacho ondoa kufuli za mwili zile kinga na kufungulia magonjwa meng sana kulundikana ndani ya mwil wako n kusabisha msongamamo wa magonjwa ndo ukumaliza
 
Nikwel ARV zinapunguza viral loaf ( kiwango cha virusi kutengeneza kopi katik kila milimita ya damu).

Sasa viral load ikiwa ndogo inamaana yakua kuna uwezekano mkubwa wa mtu anayetumia ARV kutest negative kama utampima kwa hizi vipimo vya HIV rapid test.


Nikweli kabisa ndugu ,, Mtu anayetumia dozi ya ARV sio rahisi kumuambikiza mwenzake ikiwa tu nangono ilikua ile yenye usalama yaan no michubuko.

Bila shaka nmekujibu maswli yako.
Sawa, hapo unazungumzia michubuko,
Je kwa wale wanaotumia ulimi na kukutana na majimaji, je hayawezi kuambukiza?
 
Back
Top Bottom