Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 1,194 Reaction score 911 Jun 19, 2026 #1 Ujue ukweli na uwongo juu ya uamuzi wa Bunge la Ulaya kwa Tanzania. Vyombo ya habari uchwara na media za akina Maria, wanasambaza uwongo kuzua taharuki na kueneza chuki. Hii isambae ndugu zangu iende mbali zaidi Watanzania wajue ukweli..
Ujue ukweli na uwongo juu ya uamuzi wa Bunge la Ulaya kwa Tanzania. Vyombo ya habari uchwara na media za akina Maria, wanasambaza uwongo kuzua taharuki na kueneza chuki. Hii isambae ndugu zangu iende mbali zaidi Watanzania wajue ukweli..
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,521 Reaction score 46,663 Jun 19, 2026 #2 Wewe fala hizi story zako za kipumbavu kaongee na ndugu zako Huko kijijini kwenu
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Jun 19, 2026 #3 Mimi sitaki kuongea sana usije uzi ukafutwa bure