You are welcome mkuuNashukuru sana Mkuu
Wewe baki na nyanya zako mkuu,sisi acha tufanye Forex tutakuja kununua nyanya zako huko shambani ! Usifosi tufanane hivyo wote hatuwezi kuwa walima nyanya au Forex traders
You are welcome mkuu
[/[/QU
You are welcome mkuu
OTE] ubarikiwe sana mkuu maana kuna jamaa anashwishi nijifunze hiyo kitu kumbe ni utapeli tudili na tangible things kabisa mkuu
Je Win-Win ni universal law?? Kwenye forex ni scenario tofauti, Win- loose if doesn't make sense kwako kaa pembeni.Azarel,
Ushauri wangu,Forex is a scam usijaribu kujiunga nayo mpka siku utakapo weza kujibu hili swali; Kwenye Forex nani anayeliwa hela mpka wewe uwe mlaji wa zile hela? Je upo tayari kuliwa hela ili mwenzako ale aingize mpka $ 10,000 kwa week?
Ukiweza kujibu hili swali mkuu kajiunge forex, ila ujue msingi wa kupata hela ni kufanya kazi inayoeleweka, kazi tangible, kazi unayoweza kuielezea mfumo wake, methodology yake, kazi iliyopo in your control kabisa. Kwa mfano labda,mfano tu ,Mimi binafsi nipo tayari kuwekeza 100$ kununua nyanya na kuanzisha genge kuliko kuweka forex maana najua maana mfumo wa uuzaji na ununuaji B2C unaeleweka duniani kote
All the best mkuu.
Je Win-Win ni universal law?? Kwenye forex ni scenario tofauti, Win- loose if doesn't make sense kwako kaa pembeni.
Win-loose ipo kwenye mpira, kula kwako mfano kuchinja etc win-win ni rare situation ukizingatia duniani hakuna usawa na hautokaa uwepo.
Kama umechagua ukweli wako usitake kila mtu aelewe kama ulivyoelewa baki nao moyoni kwa faida yako. Untwisted.mkuu huu ushauri nilimpa mtu mmoja, kwani wewe pia umekugusa?π€
Kama umechagua ukweli wako usitake kila mtu aelewe kama ulivyoelewa baki nao moyoni kwa faida yako. Untwisted.
Awesome.poa mkuu nakuombea Mungu upate pesa za Forex π€π€π€
mkuu ni broker gani huyo unatumia anaruhusu bank wire withdarwl
Jp Marketsmkuu ni broker gani huyo unatumia anaruhusu bank wire withdarwl
Heheheh daaahAzarel,