Ukweli kuhusu Branch international App

Mkuu promotion code ndio nini?
 
labda kulikuwana shida ya kimtandao lakii imihaijawahi kutokea kwakweli wapo vizuri hawa Wakenya ukiliganisha na hawa tigo nivushe na MPawa pia sasa waweza kupokea kwa tigo pesa pia.
 
Hapana wala sija download hiyo ap nilikuwa nataka kujua inafanyaje kazi ili hata siku nikipata dharura niweze kukopa
Nakushauri uanze kudownload app ili ukianza kukuopa unakpa wakati tayari umeshaidownload a kuingiza details zako
 
Nakushauri uanze kudownload app ili ukianza kukuopa unakpa wakati tayari umeshaidownload a kuingiza details zako
Nimesha download tayali

Nimejaribu kukopa kuna sehemu wananiambia niingize promotion code sasa hiyo promotion code siijui ndio nini
 
labda kulikuwana shida ya kimtandao lakii imihaijawahi kutokea kwakweli wapo vizuri hawa Wakenya ukiliganisha na hawa tigo nivushe na MPawa pia sasa waweza kupokea kwa tigo pesa pia.
nmeanza kukopa march3 mpaka leo sijapewa jibu la maana hawana.
basi nshaifutaga
 
nmeanza kukopa march3 mpaka leo sijapewa jibu la maana hawana.
basi nshaifutaga
Ulizia costomer care kwanini hawajakupa nachojua kama una rekodi mbaya ya kulipa madeni hata kwa mtandao mwingine wanataarifa zako ila hawasemi kwani unaweza ukaahituka wameoate taarifa zako.
 
Ulizia costomer care kwanini hawajakupa nachojua kama una rekodi mbaya ya kulipa madeni hata kwa mtandao mwingine wanataarifa zako ila hawasemi kwani unaweza ukaahituka wameoate taarifa zako.
yani huwa nalipa mfano kesho ndo natakiwa kulipa nalipa leo.
cunalipa kila baada ya siku7
yani sina rekodi mbaya ndo mana nimefika hio 60000/=
basi tu unakuta wananijibu system ndio inakopesha ,sisi hatuwezi jua kuna tatizogani!
nikikopa sekunde hio hio naambiwa niwait one day
kila siku wait one day
 
Kuna mahali pengine unadaiwa? Au ulibadilisha no ya simu?
 
Hata Tigo pesa wanatoa mimi wameniingizia leo nilijiunga nao jana saa 11 wakaniwekea saa 8 mchana leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…