Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

mkuu ze dudu hadi sasa nishakamatia totoz mbili nadhan wiki ijayo ntaanza kushughulika nazo then miaka ya juu wakirudi nitadeal nao pia vizuri.....watt wanaonyesha watamu sana kiongozi kweli hii ndo chuo kikuu
duuuh hii mbona kali
 
hAhaaah pouwa pouwa kijana .. kula maishaaa ila kuwa nao makiniii wasikupige vizingA
 
ukisema horticulture uckalili mboga mboga na matunda kama ujui kitu nyamaza ama tafuta wanajua wakusaidie we kama msomi usikulupuke kujibu vitu usivyo vijua.
 
unakosea sana unaposema horticulture ina deal saana na mboga mboga na matunda hivyo ni vijisehemu tu. horticulture ya kwel ina deal na!:
-Pomology (fruit cultivation)
-Olericulture (Vegetable production)
-Ornamental plant growing (Floriculture, Arboriculture, bedding plant and turf grass growing)
-spices crop production
-Landscape designing
hizo ndo scope zake na katika hvyo utasoma a lot of things about plants. Nafasi zake za kaz nyng tu kwa kujiajili, private sector (nyngi zaid) na gvt zmejaa.
 
Unanihamasisha mkuu. Congrats
 
Vp kuhusu kozi ya bio-processing & post-harvest engineering?

Kozi mpya na nzuri sana,lakini ni sawa na kozi nyingine za kihandisi kwenye idara ya uhandisi kilimo kwa maana ya kuhitaji kujitoa sana, vinginevyo mwaka wa kwanza unakutosha kurudi nyumbani!
 
mkuu ze dudu hadi sasa nishakamatia totoz mbili nadhan wiki ijayo ntaanza kushughulika nazo then miaka ya juu wakirudi nitadeal nao pia vizuri.....watt wanaonyesha watamu sana kiongozi kweli hii ndo chuo kikuu

hahhahaa haya mzee wa Mbunye,kuna Kahumba pia wanauza mbunye
 
Ila kuna watu humu bila kuwatishia hawa madogo hamuoni raha...teh teh teh....
Ila kusoma kunahitaji juhudi binafsi.cha msingi ni nyie kutafuta past papers(symbi) bila kusahau kusoma kwa ushirikiano.Bila ushirikiano miongoni mwenu mtaona shule chungu sana. Naamini wengi mmesharipoti tayari.
 
Back
Top Bottom