da irritant boy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 402
- 444
duuuh hii mbona kalimkuu ze dudu hadi sasa nishakamatia totoz mbili nadhan wiki ijayo ntaanza kushughulika nazo then miaka ya juu wakirudi nitadeal nao pia vizuri.....watt wanaonyesha watamu sana kiongozi kweli hii ndo chuo kikuu
mkuu ze dudu hadi sasa nishakamatia totoz mbili nadhan wiki ijayo ntaanza kushughulika nazo then miaka ya juu wakirudi nitadeal nao pia vizuri.....watt wanaonyesha watamu sana kiongozi kweli hii ndo chuo kikuu
Inategemea na lecture wenu na mnavyokubaliana coz,weng hucngzia sabato so ni nyie tu na lecture/ prof wenu
Unanihamasisha mkuu. Congratsunakosea sana unaposema horticulture ina deal saana na mboga mboga na matunda hivyo ni vijisehemu tu. horticulture ya kwel ina deal na!:
-Pomology (fruit cultivation)
-Olericulture (Vegetable production)
-Ornamental plant growing (Floriculture, Arboriculture, bedding plant and turf grass growing)
-spices crop production
-Landscape designing
hizo ndo scope zake na katika hvyo utasoma a lot of things about plants. Nafasi zake za kaz nyng tu kwa kujiajili, private sector (nyngi zaid) na gvt zmejaa.
asante sana...bsc irrgation and water reources ingeneering ikoje?
Is the game of death!
duuh what do you mean by that?
Kwanini test hufanyika siku ya jumapili saa tano asubuhi, Freedom square Mazimbu?
Vp kuhusu kozi ya bio-processing & post-harvest engineering?
vip umbali wa mjini mpaka chuoni?
kwa bachelor of food sc and technology ikoje hiyo na inadili na nn?
mkuu ze dudu hadi sasa nishakamatia totoz mbili nadhan wiki ijayo ntaanza kushughulika nazo then miaka ya juu wakirudi nitadeal nao pia vizuri.....watt wanaonyesha watamu sana kiongozi kweli hii ndo chuo kikuu